Nauza asali mbichi kwa Bei nafuu

Nauza asali mbichi kwa Bei nafuu

dancher

JF-Expert Member
Joined
Jul 11, 2015
Posts
205
Reaction score
243
Ndugu Wana jamvi nikiwa Kama jina nimeanzisha mradi wa ufagaji nyuki na kwa Sasa nimeanza kuvuna asali napatikana maeneo ya keko Dar es salaam lakini natuma mzigo wa asali mahala popote naombeni support yenu na kwa yeyote anaye hitaji kiasi chochote kile Cha asali anicheki kupitia namba ya simu 0762111630 hii ni asali mbichi original ya nyuki wakubwa kwa yeyote yule atakaye hitaji naomba tuwasiliane.
 
Hiyo ni biashara hata kutaja angalau lita moja ni Tzs ngapi hutaki!
 
Aksante kwa kuniboreshea Lita moja ni tsh 10000 kwa asali mbichi ya nyuki wakubwa lkn ni 23000 kwa Lita moja ya nyuki wadogo
Hiyo ni biashara hata kutaja angalau lita moja ni Tzs ngapi hutaki!
 
Hongera sana boss kwa ujasiliamali. Hivi asali mbichi huwa inakuwaje?!

Aksante kwa kuniboreshea Lita moja ni tsh 10000 kwa asali mbichi ya nyuki wakubwa lkn ni 23000 kwa Lita moja ya nyuki wadogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom