😂😂sijui kama atakuelewa umemaanisha nini!Bei yako nafuu mno mkuu
😂😂sijui kama atakuelewa umemaanisha nini!Bei yako nafuu mno mkuu
Tofauti ni 3'000 na keshaifikisha Dsm, nafikiri tuache kijana afanye kazi
Nafikri hatukuelewana mkuu, tofauti ni Tsh 3'000 kwa kg 1. Ambayo ni reasonable nafikri maana wengi wanauza 12'000/kg.Nani kakuambia tofauti ni 3000!! Anauza lita kwa 10000....so 5 litres kwa 50000...na nyuki wadogo 5 litres anauza laki moja, huoni kuwa ni bei ghali sana! Au dar upatikanaji wake ni adim ndiyomaana!
Nafikri hatukuelewana mkuu, tofauti ni Tsh 3'000 kwa kg 1. Ambayo ni reasonable nafikri maana wengi wanauza 12'000/kg.