FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 40,981
- 47,056
Naskia eti kupima dengue imekuwa ni ishu kisa 50K...?! Wakati mi nna applet ya kupima dengue kabisa.., unachofanya unawasha flashlight kwenye simu yako then unaweka kwapani.., baada ya dakika tano hicho ki-app kinakupa majibu.., dollar 2 tu.., kwa anaehitaji ani-pm..