Nauza AC ya Hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa

Hiyo heading yako imenichanganya sana!

AC used...Halafu ukaandika Still new!

Anyway Good luck mkuu.
 
Nauza ac ya hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa

Wazee huu ndio msimu wa joto sasa usikubali ofa kama hii ikupite hii ni ac dual inveter btu 18000, nimeitumia kwa miezi 9 na sababu ya kuuza nahamia kwangu so seble ni kubwa zaidi nafunga kubwa zaidi ya btu 23000 so kwa mwenye uhitaji wa hii anicheki chap nauza kwa sh 690,000 tu mpya dukani ni sh 1,300,000 wahi nikutestie ikupulize hapa ukirizika nakushushia uondoke nayo nahama tarehe 17

Ac ni Dual inveter inanusa umeme tu

Napatikana Kigamboni

View attachment 3514363View attachment 3514364
Winga wa Kila kitu mpaka nguo
 
Mkuu mbon
Dukani zipo mpaka za laki 5
Ya laki 5 hiyo ni btu 3000 ambayo inapuliza kama feni ac bei inaenda kwa ukubwa usitegemee chumba ukaweka ac ndogo ukapata ubaridi
 
Nauza ac ya hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa

Wazee huu ndio msimu wa joto sasa usikubali ofa kama hii ikupite hii ni ac dual inveter btu 18000, nimeitumia kwa miezi 9 na sababu ya kuuza nahamia kwangu so seble ni kubwa zaidi nafunga kubwa zaidi ya btu 23000 so kwa mwenye uhitaji wa hii anicheki chap nauza kwa sh 690,000 tu mpya dukani ni sh 1,300,000 wahi nikutestie ikupulize hapa ukirizika nakushushia uondoke nayo nahama tarehe 17

Ac ni Dual inveter inanusa umeme tu

Napatikana Kigamboni

View attachment 3514363View attachment 3514364
Bado ipi?
 
Bado ipo?
 
Ya laki 5 hiyo ni btu 3000 ambayo inapuliza kama feni ac bei inaenda kwa ukubwa usitegemee chumba ukaweka ac ndogo ukapata ubaridi
Mkuu AC zote zinaanzia 9000btu ambayo ni 1HP then 12000btu ambayo ni 1.25HP,then inakuja 18000btu ambayo ni 1.5HP na kuendelea.....
Kwa hiyo bei unayouza ni bei nzuri ,
 
Inverter ni aina gani duo au tripple..?
We jamaa, ulinifunza kitu. Nimehangaika mpaka leo nikajua kuwa kumbe triple inverter ac ni Full DC inverter.
* Triple Inverter: Focuses on the motor architecture (8 poles). It can be combined with dual-rotary hardware to create the most stable and efficient system currently available in consumer

Na nimepata kiwanda kinachotengeneza hizo AC China

Spec zake

Full DC inverter
A++engrgy saving Cooling only
support 180v Low voltage start up
support auto restart
support 4 way airflow
support ECO/SLEEP/Auto Clean/Timer/soft start/
support Energy Saving A++ SEER 17

Kweli JF pamoja na mambo mengine ni kisima cha maarifa. Huwa namueleza rafiki yangu Lamomy lakini hanielewi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom