Nauza AC ya Hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa

Nauza AC ya Hisence used still new btub18000 kwa bei ya kutupa

We jamaa, ulinifunza kitu. Nimehangaika mpaka leo nikajua kuwa kumbe triple inverter ac ni Full DC inverter.
* Triple Inverter: Focuses on the motor architecture (8 poles). It can be combined with dual-rotary hardware to create the most stable and efficient system currently available in consumer

Na nimepata kiwanda kinachotengeneza hizo AC China

Spec zake

Full DC inverter
A++engrgy saving Cooling only
support 180v Low voltage start up
support auto restart
support 4 way airflow
support ECO/SLEEP/Auto Clean/Timer/soft start/
support Energy Saving A++ SEER 17

Kweli JF pamoja na mambo mengine ni kisima cha maarifa. Huwa namueleza rafiki yangu Lamomy lakini hanielewi
Nimeifunga nyumbani kwangu hiyo mashine.... Nimeitoa mwenyewe china
 
Mkuu AC zote zinaanzia 9000btu ambayo ni 1HP then 12000btu ambayo ni 1.25HP,then inakuja 18000btu ambayo ni 1.5HP na kuendelea.....
Kwa hiyo bei unayouza ni bei nzuri ,
Tena sana alafu bado mpya btu 18 so mchezo niliifunga kwnye chumba kikubwa sana alaoo hilo barifdi lake usipime
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom