Dr Louis
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 443
- 426
Sawa mkuu na mimi acha nisitishe utaratibu wa kuwaachia wosia.![]()
![]()
siku hazifanani wala hazigandi
Sawa mkuu na mimi acha nisitishe utaratibu wa kuwaachia wosia.![]()
![]()
siku hazifanani wala hazigandi
wee!sijipendi? hahhaah we jiombee mwenyewe aiseeUmekumbuka kuniombea?
Nimewaloga, wengine nimewafarakanisha, wengine nimewapiga kipapai na kuna wengine nimewafanyia mambo machafu kabisa mpaka wakaomba poUseme ulichowafanyia na ukiweza uwataje.
Mbona unafanya toba ya juu juu.
Sema kidogo.
.. Nimewafanyia ukatili ambao sikupaswa kuufanya
... Ila sasa nimetubu na ni kiumbe kipya.... Sitaweza kumtaja yoyote
Heeee, hivi kweli?Nimewaloga, wengine nimewafarakanisha, wengine nimewapiga kipapai na kuna wengine nimewafanyia mambo machafu kabisa mpaka wakaomba po![]()
![]()
![]()
.. Nimewafanyia ukatili ambao sikupaswa kuufanya
![]()
![]()
... Ila sasa nimetubu na ni kiumbe kipya.... Sitaweza kumtaja yoyote
Hapana iache tu hiyo hela keshachapwa na bado atachapwa zaidi....Heeee, hivi kweli?
Nitakutafuta kuna David alinidhulumu laki mbili, japo ameshapata majanga hadi kufungwa hadi kukimbiwa na mke ila nataka unisaidie arudishe hela yangu