Naungama...! Natubu..!

Naungama...! Natubu..!

Namuungamia Mungu Mwenyezi Nanyi Ndg zangu kwani nimekosa mno kwa maneno kwa mawazo na kwa kutokutimiza wajibu.
Nimekosa mimi nimekosa sana.
Nakuomba ewe Bikira Maria Mwenye Heri uniombee msamaha kwa Baba mpaka mwisho wa uhai wangu.Amina.
 
Kama wewe umetubu na yeye AKATUBU
Usihukumu ukaja ukahukumiwa. Toa kibanzi jichoni mwako kabla ya kutoa boriti katika jicho la mwenzio.
Zitazame dhambi zako. Then uwe wa mwanzo kumrushia mwenzio Mawe. Happy New Year 2018.
 
Namuungamia Mungu Mwenyezi Nanyi Ndg zangu kwani nimekosa mno kwa maneno kwa mawazo na kwa kutokutimiza wajibu.
Nimekosa mimi nimekosa sana.
Nakuomba ewe Bikira Maria Mwenye Heri uniombee msamaha kwa Baba mpaka mwisho wa uhai wangu.Amina.
Aaamen....!!!
 
Tumia ushawishi wako kumshawishi na yuleee umuonae kwenye kona kulee nae ATUBU...
 
Usihukumu ukaja ukahukumiwa. Toa kibanzi jichoni mwako kabla ya kutoa boriti katika jicho la mwenzio.
Zitazame dhambi zako. Then uwe wa mwanzo kumrushia mwenzio Mawe. Happy New Year 2018.
Nimesema hivi anatakiwa Kutubu yaaani ATUBUUU na hata wewe unayemtetea muovu UTUBU
 
niliongozwa na urari wa kibinadamu kutaka kujionesha kuwa mimi ni zaidi.. Mimi ni kiboko na mimi ni mimi..

Hapo sasa mie wa maswali nimefika kuwahi siti.. haya nambie kisa cha hayo ni kama walikuponda au.. duh eleza tu nisikosee swali.
 
Tumia ushawishi wako kumshawishi na yuleee umuonae kwenye kona kulee nae ATUBU...
Tuliombee TAIFA lipate kupona... Taifa likipona hata vilivyomo ndani yake vitapona... Kwakuwa majeraha na vyenye damu, vyenye pumzi, vyenye uhai... Tukifanya hivi taifa litapona na laana ya ukame majanga na mabalaa mbali mbali... Taifa likipona.. Taifa likitubu na kuungama hata wao watatubu.. Wataungama
 
tag uliowakosea ili wapate ujumbe sio kurusha jiwe gizani, toba ya kweli ni kumfuata unayedhani umemkwaza kwa namna moja au nyingne na kumuomba msamaha na kikusamehe basi na Mungu Ataifuta!
 
Nakuungamia Mungu Mwenyezi,Nanyi Binadamu wenzagu.Natubu dhambi zangu.
Unamuungamiaje binadamu anayetaka yeye aombewe huku wagonjwa hataki waombewe tena anatumia hadi polisi kuwatawanya wanaowaombea wengine
 
Unamuungamiaje binadamu anayetaka yeye aombewe huku wagonjwa hataki waombewe tena anatumia hadi polisi kuwatawanya wanaowaombea wengine
Ukimtendea jirani yako vibaya hupaswi kumuomba msamaha na kutubu mbele yake hutorudia tena?
Yn. 13:34-35.
 
Nashukuru
Happy New Year kwako pia Kaka

Nimeshukuru kwasababu hujataka kunijibu.. siku hizi unabania nondoz..😀😛
usijali kabisa... Zinazokuja zote nitakupa first priority
 
tag uliowakosea ili wapate ujumbe sio kurusha jiwe gizani, toba ya kweli ni kumfuata unayedhani umemkwaza kwa namna moja au nyingne na kumuomba msamaha na kikusamehe basi na Mungu Ataifuta!
Sorry muktadha wa mada uko deep kuliko ufahamu wako
 
Aaamen barikiwa zaidi.. Na tukapande pando jipya lisilo na mawaa... Tuachane na pando la ubatili lililopita.. Mazao yake yalijaa mbigili na miba za visasi, mateso, majigambo, kejeli, ubabe, vitisho na Matokeo yake tukamwaga damu nyingi isiyo na hatia... Tukaungame na kutubu sasa tutaliponya taifa
Hii pic ya mwsho unaweza nipa tafsir yake boss?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom