Naunga Mkono Simba kujitoa Ligi Kuu! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naunga Mkono Simba kujitoa Ligi Kuu!

Discussion in 'Sports' started by adakiss23, Sep 12, 2012.

 1. adakiss23

  adakiss23 JF-Expert Member

  #1
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 3,345
  Likes Received: 654
  Trophy Points: 280
  Kweli soka letu litazidi kurudi na kamwe halitasonga mbele. No wonda kila siku tunazidi kudidimia ktk viwango wa fifa. Inatia aibu na haiingii akilini kamati ya sheria ya tff kutofuata sheria na kanuni walizoziweka wenyewe. Yondani amesini mikataba miwili iko dhahiri kabisa iweje aidhinishwe kuichezea Yanga tena kuwa kupiga kura na wajumbe wa kamati?? Sheria inasemaje?? Hivi kama haya yanaonekana dhahiri mwanzoni hata ligi bado haijaanza je! Uko mbele itakuwaje? Au ndo yale ya refa Oden Mbaga kuchezesha mechi 3 mfululizo zinazoihisisha Yanga tena pale taifa 2! naunga mkono mkutano mkuu uitishwe tupate baraka za wanachama tukafungue kesi ktk mahakama ya kiraia ili tff itufungie na fifa iwafungie tff ili tuanze upya. Othawise tukikata rufaa kwa kamati hiyohiyo ya mgongolwa mambo yatakuwa yaleyale 2.

  Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
   
 2. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #2
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  umeishia darasa la ngapi,na familia yenu inanufaika na wewe japo kimawazo?
   
 3. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #3
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Labda nikuulize nawe pia kwa maneno yako haya familia yako ata usipokuwepo ina-kumisi kweli!!!? Maana unauliza maswali yasiyo na kichwa wala miguu
   
 4. Kyakya

  Kyakya JF-Expert Member

  #4
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 24, 2009
  Messages: 397
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Toa mawazo sio kushambulia mtu aliyetoa mawazo yake
   
 5. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #5
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Swali alilouliza ni la msingi ila kwa kuwa hujaelewa au una akili kama za Rage hutaelewa. Kwani Simba ina mchezaji mmoja?

  Leo hii ndio mnajua kanuni, eti? Wakati Azam inapokwa points zake msimu uliopita na kuambiwa irudie mechi kwa makosa ambayo si yao hamkuona taratibu zimekosewa?

  Mwaka wenu huu, mtanuna mpk muote vigimbi kwenye moyo muwasumbue madaktari kwa operesheni za roho
   
 6. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #6
  Sep 12, 2012
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,264
  Trophy Points: 280
  Saa nyingine tumia walahu momemnt of silence kutafakari ili usionekane mjinga na kituko mbele za watu, Simba jana imecheza na Azzam mechi ya Ngao ya hisani kuashilia uzinduzi wa ligi kuu sasa wewe sijui nikusaidiaje ili utoke usingizini!!??
   
 7. saimon111

  saimon111 JF-Expert Member

  #7
  Sep 12, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,712
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  Simba bora tujitoe...maana haya mambo hata ligi kuu ya england wakati inaitwa division palikuaga na mambo kama haya na baadhi ya timu zikajitoa na kuanzisha ligi nyingine iliyoitwa barclays premier league ambayo mpaka leo ndio league maarufu duniani............tuwaachie tff na yanga waendelee na ligi yao
   
 8. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #8
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  ok! na nyie anzisheni baclayz premier leag ya timu mbili,simba b,na simba ya wakubwa,refa awe rage
   
 9. Las Mas Bobos

  Las Mas Bobos JF-Expert Member

  #9
  Sep 12, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 993
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Yaani hata namna yako ya uzungumzaji ni sifuri. Eti timu zilijitoa na kuunda ligi nyingine ikaitwa Barclays. Kwa hiyo benki iliomba jina la ligi ilitumie au?

  Wote mna akili za kisomali
   
 10. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #10
  Sep 12, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  asnte kwa kumuelewesha.Ndo mana nilikuw a na wasiwasi na uwezo wake wa kufikiri:A S 101:
   
 11. Kalumbesa

  Kalumbesa JF-Expert Member

  #11
  Sep 12, 2012
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 1,009
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Hata mimi naunga mkono tujitoe maana hiyo mi Yanga ilivyo fiti inaweza ikatuchinja uwanjani,we jana tu wana lamba lamba wametutoa jasho la pua
   
 12. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #12
  Sep 12, 2012
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,223
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180

  afu mishabiki ya simba bana, yaan inapelekwa mputa mputa na rage kama nini??
   
 13. n

  ndomyana JF-Expert Member

  #13
  Sep 12, 2012
  Joined: Jan 24, 2012
  Messages: 4,731
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  wanatimu yao nyingine inaitwa azam itawafaa wakishirikisha kwenye hyo ligi yao
   
 14. Tisha-TOTO

  Tisha-TOTO JF-Expert Member

  #14
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 10, 2010
  Messages: 1,173
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Kabla haujanza kutoa hukumu, lingekuwa jambo la busara sana kama kwanza unge-take trouble ya kusoma kanuni na taratibu za usajili zinasemaje.

  Kama hujazisoma hizo kanuni na hivyo huzijui, unahitajika kubadili maudhui ya thread yako ili liwe swali na wanaojua watakuelimisha. As simple as that!
   
 15. r

  rodrick alexander JF-Expert Member

  #15
  Sep 12, 2012
  Joined: Feb 12, 2012
  Messages: 4,094
  Likes Received: 1,477
  Trophy Points: 280
  juzi juzi kamati ya sheria na hadhi za wachezaji ilishutumiwa kwa kuweka ushabiki badala ya kufata kanuni.Maamuzi yaliyotolewa kuhusu utata wa usajili wa wachezaji kelvin yondani na Mbuyi Twite kwa kiasi kikubwa yameonyesha huenda madai hayo yana ukweli ndani yake.Kelvin aliidhinishwa kuchezea yanga na simba kuambiwa waende polisi ili kuthibitisha uhalali wa sahihi yake lakini wakati wa mashindano ya kagame Tff walimuidhinisha kuchezea yanga kwa madai mkataba aliosaini simba unaonyesha unaanza kutumika desemba 2012 kwanini tff wanakuwa na kauli mbili tofauti lakini kama wamewaambia simba waende polisi wao wamethibitishaje kwamba sahihi iliyopo siyo ya yondani.Pia yanga wameambiwa walipe pesa ambazo simba ilimpatia mbuyi twite wakati inajulikana kabisa aliyepokea pesa ni Twite wala siyo yanga hii inazidi kuishushia heshima kamati za tff na kuwafanya wapenzi wa soka wapoteze imani na chombo hicho
   
 16. saimon111

  saimon111 JF-Expert Member

  #16
  Sep 13, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 1,712
  Likes Received: 1,027
  Trophy Points: 280
  tutajitoa mcheze wenyewe na tff
   
 17. Cynic

  Cynic JF-Expert Member

  #17
  Sep 13, 2012
  Joined: Jan 5, 2009
  Messages: 5,154
  Likes Received: 628
  Trophy Points: 280
  Hivi Manji huwa anazungumza na vile vijizee vya yanga lugha gani?
   
 18. T

  Tanzania1960 JF-Expert Member

  #18
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 6, 2012
  Messages: 204
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kisomali labda
   
 19. Baraka F.K

  Baraka F.K Member

  #19
  Sep 13, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 79
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Kunya anaye kuku akinya bata kaharisha!
  Msimu ulioisha Rage ndio alikuwa wa kwanza kuwashawishi Coastal Union wakate rufaa dhidi ya Yanga kwa kumchezesha Cannavaro katika mnchezo wa Tanga!

  Rage alijitolea kulisimamia hilo mapema mara tu baada ya mechi na kupewa muda wa kuongea na Redio Cloudz juu ya sheria za ligi kuu, hatua iliyopelekea kesho yake Rage na Makamu mwenyekiti wa Azam kuitisha kikao cha ghafla cha kamati ya ligi na kuipoka Yanga point3.

  Hapop wanamsimbazi walifurahia sana pamoja na Azam kwa kuikomoa Yanga!

  Sasa leo Mgongolwa kuwaidhinisha Yondani na Twite kuchezea Yanga ndio kunaifanya Simba itangaze kuhama ligi kuu na kuhama Zanzibar?

  Rage alichemsha katika kusajili hivyo lawama msimpe Mgongolwa, kaeni mjipange upya
   
 20. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #20
  Sep 13, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ulikuwepo kwenye hicho kiakao? Mbona Simba mna majungu na taarifa za kiudaku udaku zisizo na uthibitisho?? au ndo yale yale ya kina Crashwise eti Kwa taarifa za uhakika nilizozipata kutoka ndani ya shirikisho la soka nchini.... acheni udaku mnadanganywa na msomali ninyi.
   
Loading...