Nyamesocho
JF-Expert Member
- May 5, 2023
- 476
- 1,244
Kada ambayo watu wake ni wasomi kwenye Taifa lolote ni walimu, walimu ni watu wasomi sana kuliko kada zingine zile na somo la uadilifu kwa walimu kuanzia mavazi mpaka lugha ya mazungumzo,vyuoni ni walimu pekee wanavaa vizuri,wanazungumza kimaadili sana tofauti na kozi zingine.
Walimu ni watu wanauelewa kuhusu mambo mbalimbali kuhusu Elimu, Afya, mazingira,uongozi na usimamizi,kutatua migogoro, kufanya maamuzi na ni walimu pekee licha ya kusomea ualimu wanasoma taaluma zingine na wanajua vitu na wana maarifa ya kutosha kuhusu taaluma zingine.
Asilimia 99 ya miradi shuleni inakamilika bila migogoro, angalia shule zinazojengwa au miradi ya shule mbalimbali huwa haifeli,na huwa inakamilika kwa wakati licha ya kukutana na vikwazo vya manunuzi, mainjinia na wanasiasa lakini mwalimu anakomaa mpaka mradi unafika so walimu ni wazalendo namba moja kwenye hii nchi.
Mheshimiwa Mchengerwa, shauriana na mama wapeni walimu ukurugenzi kwa asilimia 95 hamtojutia,na nyie wenyewe mnaona baadhi ya walimu ambao ni wakurugenzi wanavyochapa kazi.
Ili uamini hilo wakurugenzi wengi wanapokuwa nje ya ofisi huwakaimisha maafisa Elimu wa Wilaya kushika nafasi, wanajua hawatawaangusha tofauti na wakuu wa idara zingine.
Acheni kuteua kwa kuangalia ukada kwa kuchukua watu mitaani na kuwapa ukurugenzi,kila wiki utakuwa unatumbua.
NB: Mimi si mwalimu ila nina uzalendo na Taifa hili.