Naunga mkono hoja ya Oscar Oscar

Hakuna anayeweza kukushambulia kama hawakujui. Hakikisha wanachokijua kuhusu wewe ni 1%.

Ndio maana makombora ya houthi Israel yanatua hovyohovyo maana hawajui target sahihi ya kushambulia.
 
Hakuna anayeweza kukushambulia kama hawakujui. Hakikisha wanachokijua kuhusu wewe ni 1%.

Ndio maana makombora ya houthi Israel yanatua hovyohovyo maana hawajui target sahihi ya kushambulia.
Sasa ukiweka mchele peupe kuku wanadonoa wote
 
Ilitakiwa iwe na marafiki wengi zaidi kuliko nyumbani mtu anakoishi
Lakini huko ndo kunaongoza kuwa na maadui. Mtanzania anapenda sana kuona mwenzake anateseka. Na usiombe ukawa na kakipato kanene-nene utachukiwa hata na ndugu. Tuna roho mbaya sana majority of us!!! ndio sababu ya matajiri kuchukiwa!
 
Hata kama huwa wanachelewa wote na bosi. Ukichelewa wewe ambaye unakavisheni flani watakuua balaa.
Wanatafuta mwanya tu wakupasue, wachawi kazini sio watu, jitu linakuchekea kumbe nafiki sio poa!!
 
Ni changamoto sana ni unafiki kwa wingi na mashindano.
Kuna unafiki mkubwa sana huko makazini majitu kusagiana kunguni hayaoni kazi...ukiyaangalia usoni utadhani jitu jema mcha Mungu kumbe lina roho MBAYA vibaya mno SHETANI akasome!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…