Naumwaga..

Naumwaga..

SI unit

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
1,953
Reaction score
767
Msukuma mmoja alikua anaumwa na kulazwa kwenye hospitali moja hivi. Siku moja rafiki yake akaenda kumtembelea kumpa pole. Wakati jamaa anafika akakuta mgonjwa ana kikombe cha uji anakunywa. Wakasalimiana, jamaa akawa anamfariji.
Mgonjwa: Nashukuru sana kwa kunitembeleaga huku hospitali.
Jamaa: Usijali rafiki yangu, Mungu atakusaidia utapona.
Mgonjwa: Asante sana, ila naumwaga. Yaan naumwaga kweli.
Jamaa: Usiumwage bwana, kama umeshindwa nipe tu ninywe mimi manake nina njaa.
...
Naumwaga - -> naumwa
...
...
Big up sana wazee wa kukandamizaga!
 
Akina chenge bana na lugha yao, wanatumia nguvu kubwa kutamka maneno
 
Ila jamaa alikuwa na njaa mpaka atamani kunywa uji wa mgonjwa!!!
 
Naumwaga jamani. Naumwagaa nizuieni, naumwagaaa, huooo.
 
heheeheehehe naumwaga mchizi akaomba dah, hizi njaa, si aengeacha aumwage tuu
 
Hao c ndo wazee wa alikuwamo, ameondokako, anakujako. Dah! nlishangaa nlipofika Rocky City wa2 weng wnaongea kiswahil km hcho.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom