Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 19,449
- 25,363
Rafiki zangu,ndugu zangu na wapenzi wangu wote wa JF nahitaji dua zenu maana hali si hali naumwa sana siwezi hata kula,macho yanafifia fifia ,mwili wa moto kila ninachofanya kwangu nakiona kibaya
Wale wote niliowakosea naomba mnisamehe sana ,kwa wale mnaokaa dar mnaweza mkaja nyumbani kuja kuniona mnifariji
Pia nitatoa info zangu zote kwa moderators ikitokea nimekata roho watawaambia
Dunia ni mapito swali kabla hujaswaliwa.