Naumwa jamani

Sijalala mpaka saa hizi,na usingizi lakini maumivu yamezidi.,Tuombeane kheri,
 
Nimeamshwa kupewa dawa,,tumbo limenisumbua usiku mzima.,Al be okay,Jesus died for my pain i knw.I love u all friends!
 
Pole sana Kaby, hebu nipe maendeleo yako kabla sijakufungia safari kukuletea dozi.
nimetoka hospitali nimepima nimeambiwa na typhoid nimepewa dawa na nimechoma sindano angalau na matumaini sasa lakini tumbo bado linaniuma sana, ahsante babu
 
nimetoka hospitali nimepima nimeambiwa na typhoid nimepewa dawa na nimechoma sindano angalau na matumaini sasa lakini tumbo bado linaniuma sana, ahsante babu

Yaani kabakabana mpaka simu uka-divert kituo cha police kilicho karibu na wewe

Napiga inaita tuuuuu afadhari nimekuona hapa.. salama iko
 
Pole sana dear. Hebu jaribisha kupima. isije ikawa ni presha iko juu.
 
Hivi bado unaumwa Kabakabana?
Pole sana. Nimefurahi kusikia umeenda kumwona daktari.
Ninakuombea upone haraka.
 
Similar Discussions

2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom