Chuck j
JF-Expert Member
- Jun 17, 2011
- 2,358
- 814
Nilipimwa juzi ,katika dispensar maeneo ya kigogo,,sasa nimegundulika na tatizo la figo,,nimeambiwa ni imfection,,bacteria wamepanda kutoka kwenye kibofu cha mkojo mpaka kwenye figo, nikapewa antbiotic na dawa nyingine, na kuchomwa sindano moja,,kwenye mshipa,,,,kesho yake maumivu yaliongezeka.
Nikampigia dkr anaenitibu akaesma nikapige utrasound,,,sijaenda, na maumivu yanapungua,,je hakuna dawa nyingine ambayo naweza itumia baada ya hii kuisha?je huu ugonjwa ukoje/swala la kupona vipi/
Nikampigia dkr anaenitibu akaesma nikapige utrasound,,,sijaenda, na maumivu yanapungua,,je hakuna dawa nyingine ambayo naweza itumia baada ya hii kuisha?je huu ugonjwa ukoje/swala la kupona vipi/