Naombeni ushauri wakuu

Azimio la kazi

Senior Member
Jun 7, 2023
138
451
Habari wana bodi natumia wote ni wazima wa afya.

Wakuu Ilikuwa kama mwezi mmoja nyuma nilianza kupata maumivu chini ya mbavu upande wa kulia, hali hiyo ili endelea ndani ya wiki mbili, baada ya hapo yaka potea.

Cha ajabu Toka siku ya juzi maumivu yale yameanza upya, pamoja na homa.

Leo Jumatatu nimeamkia hospital apa Dr akashaur nifanye ultrasound, mrdt na full blood picture.

Majibu yameonesha malaria Sina, damu ni chafu, pia kimechonishitua Zaid Dr kasema kipimo Cha utrasound kinaonesha Figo ya kulia imebimba kutokana na bacteria wengi sana.

Kani andikia vidonge apa kasema nitumie kwa siku tano na kama hali haitabadilika kasema nirudi niingie kwenye tiba ya sindano.

Wakuu hapa na hofu sana sielew, nahis kama Figo Kwel imebimba basi ndo mwanzo wa mwisho wangu.

Naomba kuuliza je hii Hali ipo inaweza kurudi nikawa kama kawaida.

Umri wangu: 23
Vileo situmii.
Kazi: mwanachuo
Dawa nimezopewa: mefamic acid pamoja na flucamox
 
kunywa dawa hizo pia kuna matunda na juice yanasaidia kusafisha figo mfano sijui ni majani ya mstafeli kama sikosei na vitu vingine

usiajli hata Mungu atakuponya
 
kunywa dawa hizo pia kuna matunda na juice yanasaidia kusafisha figo mfano sijui ni majani ya mstafeli kama sikosei na vitu vingine

usiajli hata Mungu atakuponya
Matunda yap hayo naomba kama unakumbuka niandikie
 
Unamaanisha imebimba imevimba? Pole nadhani ni inflammation ya kawaida...fata ushauri wa daktari
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom