Nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.
Bado mnanishauri harusi...hamuwezi kuwa hamjalewa. #badoniponiposana
Mapenzi ya kweli na kutodanganyana yapo Mentor. Na huwa ni matamu sana, cha muhimu ni kuhakikisha humuachi Mungu kwenye haya mapenzi yenu na msifocus sana kwenye mambo ya mwili. Find a sustainable definition of your relationship in God. Nimeshaumizwa vya kutosha na nimejifunza mengi kupitia hayo, lakini sijapoteza tumaini la mapenzi ya kweli.
Sent from my BlackBerry 9810 using JamiiForums
Ongea nae kwa mifano na wala usioneshe ku-panic ili akimbie mwenyewe. Mwambie tarehe fulani niliitwa maeneo fulani ( itaje sehemu ya jirani na guest) , na nilipofika nilifadhaika sana na kitu nilichoshuhudia maeneo hayo. Na mpaka leo bado natafakari hatua za kuchukua ( kuwa mpole unapoongea hayo huku ukimwangalia usoni) , then maliza kwa kumuambia ukishapata jawabu utamshirikisha - ila kwa sasa awe mpole kwanza.
Pole sana mkuu.nakushauri uachane naye.kwakuwa ataendelea kukusaliti.Nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.