Naumizwa

Naumizwa

Mng'oe hata jino moja kwa ngumi, kidogo roho yako itasuuzika na yeye ata-relax. Ila ucmwache.
 
ni bora umuulize kuliko kukaa kimya kwa sababu na yeye pia anapata shida mana anjiuliza kwa nini hujamuuliza mpaka leo pia hana amani anaweza akachukua maamuzi ya kujiua au hata kutoroka coz hajui wewe umepanga kumfanyia nini, lakini pia ukitoa duku duku lako itakusaidia wewe kwa namna fulani utapata nafuu mana maumivu unayosikia ni makubwa kuliko vile ambavyo ungemuuliza. Pia nakushauri tu akiomba msamaha msamehe kwa sababu am sure ungekuwa ni wewe umekutwa na mkeo gesti angekusamehe mana wanawake ndo tulivyoumbwa ila mkacheki afya zenu kwanza. Pole sana aisee
 
Nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.

duh kwanza hapa sijaona kama wewe umemfumania kumkuta guest na kidume ni half the story kaka
 
Umesubiri mpaka siku zimesonga kiasi hicho usingesubiri muda mrefu km hvyo hapo haujengi bali unabomoa lkn unayo nafasi ya kumuliza hata sasa ili ujue na roho yako itulia.
 
niliitwa kushuhudia na watu wema kwangu

Kama walikusaidia kushuhudia wakusaidie faraja pia! Hao si watu wema kwako bali ni wauaji. Nani alikuambia kile kitendo kinashuhudiwagwa? Hususan mkeo? Kua mwanangu uijue dunia!
 
pole sana,kuna thread humu mke akiwa chakaramu unakuta mume mpoleee,na mwanamke akiwa mpole mwanaume anakuwa hashikiki mie nimeanza kuamini haya mambo.....pole sana aisee vumilia litapita na hili...wanasema TIME IS BEST HEALER...
 
Nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.

Ya kweli haya.....mmmmmh?
 
Unaweza kufa na tai shingon wa2 wakajua kipapai kumbe gonjwa la moyo we malizana nae yaishe.Rijali huwa hawi mwoga kumwulza mwenza wake ukiwa mwoga labda na ww ulifumaniwa sa ngoma droo
 
ufanye nini sasa wakati mnaendelea kuishi we unafikiri kuna kitu atakwambia zaidi ya umsamehe,kama hauko tayari kumuacha usimuulize kitu
 
Endelea kukaa kimya maana ipo siku atakwambia mwenyewe kilichompeleka guest house. Asipokwambia basi nadhani ataondoka mwenyewe hata bila kukwambia.
 
pole sana, nakushauri kaa kimya hivyohvyo en am tellng you atajifunza na hata rudia kamwe!! Hiyo ndiyo silaha pekee kama bado unampenda kwa dhati

Integemea. Kama hajagundua kuwa mumewe alimuona akifanya uovu wake? Pia kumbuka jasiri haachi asili, mwanamke au mwanaume kicheche (wanaopenda kuwa na mahusiano na watu wengi kwa wakati mmoja) huwa haachi hiyo tabia, hupumzika tu.
 
Nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.
Mpe ile kitu alikifata gesti...
 
Back
Top Bottom