Mkatavimeo
JF-Expert Member
- Jan 3, 2011
- 2,150
- 875
Nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.
Na wewe katafute mke wa mtu umtafune. Uchungu wote utaisha.