KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,830
- 12,292
Utakua huna utamu aliyoukusudia.Wanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo
Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi
Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana ghafla
Mapenzi yakawa matamu ila kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena na mimi nampenda kumsahau nashindwa naishia kulia tu
Sasa ni four weeks maumivu yako pale pale
Natamani kama kungekuwa na dawa za maumivu ningekunywa
Wewe ulijuaje kila mtu nampenda, inshort tulivyokuwa tuna-communicateSHIDA UNAPOTAMANIWA WE UNAPENDA!
sasa utapenda wangapi!?
RUKSA KUTAMANAI HATA MIA!
ILI HATA MKIFIKIA HUKU HULOOSE KITU!
SASA KILA MTU UNAMPENDA TU!
WATAKUUMIZA MPK SIKU UTAKAPOJIFUNZA KUWATAMANI,KUWAONJA NA KUWACHOKA!
SI UNAONA LAKINI MACHAGUA YAKO YANAVOKUZINGUA!Kila mtu anachaguo lake so don't force kila mtu awe kama wewe
Chaguo lako linaweza lisiwe langu
AM NOT!Wewe ulijuaje kila mtu nampenda, inshort tulivyokuwa tuna-communicate
Wewe ulikuwepo? toa ushauri unaofaa sio kuwa judgmental
Mwanzo wa mahusiano ulikuwepo kama?SI UNAONA LAKINI MACHAGUA YAKO YANAVOKUZINGUA!
well my idea sio uchague kama mimi!
IDEA YANGU NI HIYO CRITERIA YAKO YA MWANAUME ANAYETAKIWA KUPENDWA NA WEWE NDO KITU CHA KWANZA KINACHOKUUMIZA SIO MAPENZI!
MAPENZI NI MATAMU SANA AISEE!
MNO!
BASI TU UKIINGIA CHAKA!NDO MATOKEAO YAKE YANAKUWAGA YA KIWEHU HIV!
DAH!Mwanzo wa mahusiano ulikuwepo kama?
Je ulijua ni mangapi tulipanga toa ushauri kutokana na mada
Maumivu yapo tu ndio maana dunia nzima kuna nyimbo nyingi za mapenzi kuhusu maumiviu so it's not just only me ni dunia nzima
Yes i will face my own world alone but don't give me advice in mocking wayDAH!
si umesimulia mwnyewe KUWA ILIKUWA KWENYE SIMU MKATAMANIANA?
ahahahahha we bana face your world!
HUYO KASEPA ,IINGIZE AKILINI ANGALIA MAISHA MENGINE!
hutaki endelea kujikunyata kulia lia!
Hao ma handsome mtalia sana, pole. Hakupendi huyo achana nae, mwanaume akikupenda huwezi lia lia hapa. Huyo bado, si wako ndugu japo ngumu kumeza ila ndo hivo hakupendiVery true nilimpenda sana cause the guy ana sifa 3 kuu
1)brain imetulia
2)very romantic
3)very handsome
Ila kikubwa zaidi brain yake ana shule na kitaa
Kwani wewe upo wapi na yeye yupo wapi?Wanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo
Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi
Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana ghafla
Mapenzi yakawa matamu ila kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena na mimi nampenda kumsahau nashindwa naishia kulia tu
Sasa ni four weeks maumivu yako pale pale
Natamani kama kungekuwa na dawa za maumivu ningekunywa
Pole sana mkuu naona ujawahi kupenda wala kupendwa but is not my problemAcha kuendekeza ujinga!mapenzi yanaumiza vipi?kama sio ujinga?!mbona haufi?!
Uwiiiiiii yaani nimekufa mbavu kwa usanii huuIla kiukwer manaume ss ni mafisi sana, ukiona mwanaume amedumu na mpenzi wake muda mrefu bila hata kumsaliti ujue huyo ni shujaa na ameamua,
Mwanamke kama hujui kujiongeza utakimbiwa tu na kuachwa....wanaume ss haturidhiki, tunataka vingi sana....
Kwa situation yako mm ishawai nikuta....mapenz yalikua moto mwanzoni lkn badae nkaona najilazimisha tu na kujifanyisha nampenda siwezi, basi nkampotezea kama hivyo.
Kama ni ww tafadhali nisamehe sana.....cwezi kujilazimisha kwako zaidi.
MWANAUME MWENYE MALENGO NA WEWE UTAMTAMBUA KWA HAYAWanajukwaa hope wote ni wazima kiafya na kimaendeleo
Mwenzenu naumizwa sana na mapenzi
Kuna mkaka alikuwa rafiki yangu tukiwa wadogo age ya primary tumekuja kupana kwa simu ukubwani tukatamaniana ghafla
Mapenzi yakawa matamu ila kwa sasa mwenzangu hayuko vile tena na mimi nampenda kumsahau nashindwa naishia kulia tu
Sasa ni four weeks maumivu yako pale pale
Natamani kama kungekuwa na dawa za maumivu ningekunywa
Yaani asante kwa kunichekesha cause nimecheka kwa sauti nahisi mpaka neighbours wamenisikia si kwa usanii huo uwiiiiiiiiiiiiiiiii nakufa kwa kuchekaIla kiukwer manaume ss ni mafisi sana, ukiona mwanaume amedumu na mpenzi wake muda mrefu bila hata kumsaliti ujue huyo ni shujaa na ameamua,
Mwanamke kama hujui kujiongeza utakimbiwa tu na kuachwa....wanaume ss haturidhiki, tunataka vingi sana....
Kwa situation yako mm ishawai nikuta....mapenz yalikua moto mwanzoni lkn badae nkaona najilazimisha tu na kujifanyisha nampenda siwezi, basi nkampotezea kama hivyo.
Kama ni ww tafadhali nisamehe sana.....cwezi kujilazimisha kwako zaidi.
fanya vitu vinginePole;
Achana na mapenzi kama yanakuumiza
Ubarikiwe my nduguMWANAUME MWENYE MALENGO NA WEWE UTAMTAMBUA KWA HAYA
Nimekuwekea hapa zisome Tabia za mwanaume mwenye malengo na wewe.
1. Anakupigia simu mara kwa mara na kukuuliza siku yako imeendaje. Anafanya hivi kirafiki na kwa upendo, haigizi. Anakupenda kweli.
2. Anakutembelea mara kwa mara, anakuwa karibu na wewe kipindi unaumwa, hii inamaanisha kwamba yupo tayari kukuvumilia katika shida na raha. Mpende mwanaume huyu.
3. Anawapenda ndugu zako kama ndugu zake. Anaongea nao vizuri na kusaidiana mambo ya hapa na pale. Mtizame kwa jicho la tatu huyu mwanaume!
4. Anaongea na wewe kwa adabu na kwa upole, anakukosoa bila wasiwasi kama kuna mambo unaenenda visivyo. Anakuelekeza njia zilizonyoka..sio wa kumuacha huyu!
5. Hakulazimishi kufanya mapenzi. Anakupenda sana kiasi kwamba hawezi kukulazimisha jambo ambalo hauko na hiari nalo. Yupo karibu na wewe wakati wote na sio tu anapokutaka kimapenzi, huyu ni bonge la bwana.
6. Anakusaidia fedha pale unapokua umekwama kabisa, yuko na jukumu la kukusaidia kiuchumi. Anapenda kukupa kile ambacho amejaaliwa nacho. Hana mkono wa birika, Huyu anakupenda!
7. Anazungumzia future yake na wewe, mipango ya baadae pamoja na wewe, huyu anayo dhamira ya dhati kutoka moyoni mwake ya kukufanya uwe mkewe.
Hizi ni moja ya dalili kwamba mwanaume wako anakupenda na anataka atengeneze future pamoja na wewe. Usikate tamaa juu ya mwanaume wa aina hii.
Hao wenye sixpack sijui eight pack, wabeba vyuma, wavaa milegezo, wanyonya midomo na mahandsome wavaa hereni, waume za watu, masupa staa, watoto wa vigogo, hawatakusaidia lolote, utabaki ukiumizwa tu moyo wako.
Kabla hujajipendekeza kwa wanaume wa aina hiyo, jiulize wanawake wanzako wangapi wameshajipendekeza kwa sababu ya hzo pesa zake, hivyo na wewe unajiongeza kwenye foleni!
Mvumilie mwanaume wako, anazo ndoto njema, mapenzi ya kweli ni vigumu sana kuyapata. Ila pesa na mali ni rahisi sana kuzipata kama utajibidiisha.
Usipende mitelemko, mitelemko mingine ni njia ziletazo mauti! - Ukishikwa shikamana, ukipendwa, pendeka!
Mwisho ndoa ni muhimu na Uzingatie mipaka ya Dini yako usijekuingia kwenye makosa.