Naumia sana nakosa la kufanya

Naumia sana nakosa la kufanya

caine

kwn wewe unafanyaga vp ili tujue unazingua wapi.....!!!!!!!!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
caine

Ukienda kwa Ngwajima anaweza kukwambia una mkosi na umesababishwa na mpenzi wako hivyo una hitaji maombi ili kuondoa huo mkosi!

Ukienda kwa Mganga anaweza kukuambia umetupiwa jini au uchafu unao kufunga hivyo andaa jogoo na mbuzi tufanye tambiko!

Ukimtafuta Dr wa saikolojia anaweza kukwambia una tatizo la kisaikolojia linalo kuandama na unaamini uwezi kusonga bila ex wako na hivyo unaona kila ukikataliwa unafikiri ni kwakuwa ulimuacha mpenzi wako hivyo suluhu ni kuanza kuamini unaweza na kuendelea kujaribu!

Mimi naweza kukwambia huna tatizo lolote bali unashindwa kujiamini na swala la kusema una swagga zote ni ngumu kulipima..pengine unajiona unatema point kumbe wenzio wanaona hakuna kitu...endelea kujaribu..kukataliwa hakuna idadi maalum pia angalia unapo ingia pengine si size zako!
 
shukrani mkuu
 
Attachments

  • 1436804793254.jpg
    1436804793254.jpg
    7 KB · Views: 604
mkuu hiyo hata mimi ishawahi nitokea mpaka nikahisi labda nimetupiwa mfupa wa nguruwe lakini baadae nilikuja gundua nikua nawafata kwa papara sana kwakua nilikua nishazoea ile tu ukitaka kummega dem wako ambae umemzoea hauombi ama kubembeleza nyapu unakua kama na kuforce flani ivi,,

hii sasa ukishaizoea unaona nyapu tena sio wajibu kuibembelezea ila ni haki yako kuipata kila utapoihitaji that way unaishi na hako ka mentality bila kujijua unakuta unamfata mschana akikuletea tamthilia kidogo tu ama akiringa kikawayda ile unamaind sana kama ulimzaa wewe ila ukila za mbavu za kutosha overtime utaanza tu kukumbuka jinsi ya kumbembeleza mrembo unaetaka kumvua bikini na eventually zitaanza tu kukaa relini zenyewe kama kenya tuu
 
Kamati kuu ni yuleyule demu uliye muacha, Kama jina lako limekatwa kwake. Sahau
 
Back
Top Bottom