Naumia sana nakosa la kufanya

Naumia sana nakosa la kufanya

Haha...kumbe we dhaifu..bora usiende..usije ukarudi na mimba
weee kuna maeneo lazima niwe dhaifu.. kasha sema kipato kipo me nikwenda kuuliza tu unaingiza sh ngapi kama yupo mule mule kwa nini nikatae
 
Karma is paying you back for hurting an innocent soul. Kuna Vitu huwa tunavichukulia kawaida sana bila kujua vina madhara gani. Huwezi jua aliumia kiasi gani, alitamka maneno gani (ambayo ni laana kwako) na huwezi jua anapitia magumu gani after kuachana na wewe ambayo possibly yanamfanya anung'unike like " maybe Caine asingeniacha, nisingehangaika hivi".

Mtafute umuombe msamaha and possibly atauchilia moyo wake. Msipende kutake advantage ya upendo wa wengine.
 
Hiyo ngumu maana we ndio unatongoza sasa kujua unakosea wapi ni ngumu
 
Nenda Marekani wamehalalisha ushoga waweza pata. Maana mwanamke aliye kupenda ulimzarau.
 
Acha uongo, mabinti wa siku hizi ukiwa na kipato cha kuridhisha wanacheza hata kabla hujapinga ngoma.
 
Mkuu mtafute muombe kwanza msamaha.....haya maneno kamwambie ayajue kabisa....huenda hajakusahau na bado unamuumiza sana!
....Ila kwanin umchezee na kumtafutia sababu mtt wa mwenzio, km humpend si unamwambia tu.
mkuu itabidi nimtafute hii hali inaniumiza sana kichwa inafika kipindi ninahisi nina gundu kitu ambacho sitaki kukiamini
 
Pole, hiyo ni lana ya yule msichana uliyomuacha bila kosa lolote, sio tu kwa sababu ulitoausichanawake hapana. Ni
vile ukumwamba ukweli, wewe baada yakumchoka ukaanza vituko vyako. ungemwambia ukweli usingepata lana yake.
kuna laana nyingi, ya wazazi ya mke n.k. rudi ukamweleze kwamba yeye hakukosea ila ulimchoka tuu. utaona mambo yako yatakuwa poa.

kana ka sngu
ahsante mkuu kwa ushauri wako
 
Labda utupie ka clip jinsi unavyotongoza mkuu.. unaweza kuwa huna swaga ila unajiona unaswaga.....

unaweza kuwa unafuata mademu siyo level yako nikiwa na maana ya kuwa kipato chako hakina mvuto..

sasa jiangalie tena
nipo vizuri kwa upande wa swaga hilo sina shaka nalo kipato angalau kina ridhisha kinachoweza kunifanya nipate mwanamke standard naumia sana hilo linapo shindikana
 
nipo vizuri kwa upande wa swaga hilo sina shaka nalo kipato angalau kina ridhisha kinachoweza kunifanya nipate mwanamke standard naumia sana hilo linapo shindikana
tongoza wa adhi yako
 
Watu twatafuta fursa kama hizo wewe wazipata na kuzipiga teke makusudi,acha uonje joto ya jiwe!
 
Heri uliyemwanza mwenyewe ila ndo umeshachemka,mi huwa nikitongoza nikikubaliwa fasta nakatika naanza kujiuliza wangapi wamekubaliwa na kukubaliwa fasta
 
Back
Top Bottom