Naumia sana nakosa la kufanya

Naumia sana nakosa la kufanya

KAMA UNATAKA KUOA SAWA, LKN KAMA KUWACHEZEA ACHA, MAANA NAONA UKIMWI NA MAUTI IPO JUU YAKO KWA JINA LA YESU KRISTO,Amen
 
Pole sana kaka,naamini wewe bado hujajua unataka nini,muombe Mungu akusamehe then uombe akufungulie ujue unachokitaka,Inaweza kuwa hitaji lako ndo huyo uliemtosa..
Wakati nipo chuoni kuna mkaka nae alinifanyia kama wewe ila mimi nilimsamehe kabisa ila siwez kumtrust tena na ana miaka miwili anatuma married proposal kaz yangu ni kureject.Nimekutolea huu mfano kukuonyesha kuwa usipotubu hautokuwa trusted maisha yako yote na asikwambie mtu trust huongeza raha ya aina yake kwenye mahusiano yoyote yale.

Ndie huyu mdada. Mrudiane tu, ebu mu PM jamaa.
 
Kuna vitu unavyo ambavyo vinakera wanawake, ila mwanamke wako alikuwa anakuvumilia, bila wewe kulitambua hilo ukaona wewe ndiyo kidume ngoja umuache utapata mwingine. Sasa unakutana na wale ambao uvumilivu na wewe hakuna. Mrudie tu huyo huyo. Ulijidanganya.
 
caine

kafie mbele,mshenzi mkubwa ww!ntakuombea ukimwi pia
 
Last edited by a moderator:
Si unataka wa kutumia ama?! Hao malaya unaowatumia hawakutoshi mpaka ukavuruge hisia na mfumo wa maisha wa mtu?
 
Sound unazo Ilan bardo unatumia gharama Japange , kuna mambo Mengi ya kufanya pia usitumie fedha kumpata mwanamke atakugarimu Sana
 
She cursed u...kwa kulalamika kwake as hakua na hatia
 
duh! umenikumbusha mbali nilitokewa the same incidence few yrs ago, my hubby that time my boyfriend tupo chuo, akaniingiza ukubwani bwana, mtoto wakike nikaahidiwa mengi ikiwemo ndoa, bf 3rd yr, mi 1st yr, dah, alipograduate ndo akasepa jumla sikujua nampataje nanilishapenda, nililia hakuna mfano chuo skutamani had lecturer akaniita mbona cionekan clas?

nikataman nimwambie labda atanibembelezea bf, badae nikarecova nikagraduate afta 2yrs japo roho inaniuma balaa, skupenda tena nikaogopa kutendwa, back 2bf, kumbe alipata gf mpya akaona anikimbie navituko kila aina alinifanyia, hawakudumu nae akaachwa, kila binti alompata hawakudumu karibu 15, anasema alikuwa akitongoza jion kesho yake anakataliwa,

ndo akakumbuka alichokifanya kwangu akaja kunililia kama mtoto, nikafungua moyo nikamsamehe, kufika kwake sikuamini chumba cheupe hakuna k2, tukaoana rasmi, leo ni mr &mrs, tumepata watoto, tumejenga mambo yakamnyookea, MTAFUTE UTENGENEZE NAE HATA USIPOMUOA AKUSAMEHE UONDOKANE NA LAANA YA MACHOZI
 
mtafute upige magoti utubu mbele zake,unayo laana ya machozi yake....
 
Jitathmini matendo yako kijana yaani wanaadamu tuna shida mtu akishajua anapendwa ndo sindimba linapoanzia..You have hurt an innocent soul carelessy coz of ur selfish ego...Ulichokuwa unakitafuta umekipata???
Sometimes we get lost seeking for dreams that can be fulfilled nor achieved,tujifunze kuridhika na tulicho nacho na kujifunza jinsi ya kumanage kuishi nacho...What you were searching for was with you all the time!!
Everything happens for a reason na majibu yote unayo ilobaki ni kuyafanyia kazi tu!!I hope you have learned ur lesson....
 
duh! umenikumbusha mbali nilitokewa the same incidence few yrs ago, my hubby that time my boyfriend tupo chuo, akaniingiza ukubwani bwana, mtoto wakike nikaahidiwa mengi ikiwemo ndoa, bf 3rd yr, mi 1st yr, dah, alipograduate ndo akasepa jumla sikujua nampataje nanilishapenda, nililia hakuna mfano chuo skutamani had lecturer akaniita mbona cionekan clas? nikataman nimwambie labda atanibembelezea bf, badae nikarecova nikagraduate afta 2yrs japo roho inaniuma balaa, skupenda tena nikaogopa kutendwa, back 2bf, kumbe alipata gf mpya akaona anikimbie navituko kila aina alinifanyia, hawakudumu nae akaachwa, kila binti alompata hawakudumu karibu 15, anasema alikuwa akitongoza jion kesho yake anakataliwa, ndo akakumbuka alichokifanya kwangu akaja kunililia kama mtoto, nikafungua moyo nikamsamehe, kufika kwake sikuamini chumba cheupe hakuna k2, tukaoana rasmi, leo ni mr &mrs, tumepata watoto, tumejenga mambo yakamnyookea, MTAFUTE UTENGENEZE NAE HATA USIPOMUOA AKUSAMEHE UONDOKANE NA LAANA YA MACHOZI

Pole na hongera kwa uvumilivu na upendo ulojaaliwa nao...
 

Attachments

  • images-16.jpeg
    images-16.jpeg
    8.4 KB · Views: 345
😬embu ngoja na mim nijiangalie hapa.
Inawezekana hzi laana zipo kweli
 
Back
Top Bottom