Naumia sana nakosa la kufanya

Naumia sana nakosa la kufanya

habari zenu wakuu,

mimi nipo salama ninamshukuru mungu. Naomba niende moja kwa moja kwa kilicho nifanya niaandike uzi huu ni muda mrefu takribani miaka 2 imepita tangu nilipo achana na mpenzi wangu ambae tulidumu nae kwa muda mrefu na mimi ndio nilikua mtu wa kwanza kufungua usichana wake.

Alitokea kunipenda sana zaidi ya nilivyokua nikimpenda mimi baada ya kumtumia kwa muda mrefu nikajikuta nimemchoka hivyo nikaanza kumfanyia vimbwanga ili tuachane matokeo yake akachoka na lengo langu likatimia. Baada ya kuachana nae nikaanza kufanya mchakato wa kupata msichana mwingine ambae angenifaa.

Hapo ndipo matatizo yalipo anza kila msichana niliemfuata alinikataa wengine hata kwa sababu zisizo za msingi. Nime hangaika sana mpaka ikafika kipindi nikaamua kuachana na kutongoza wanawake kwa sababu nilijikuta nikitumia gharama kubwa sana zisizo za msingi.

Sijajua tatizo ni nini kwa sababu kama sound zipo za kutosha, kipato kinaridhisha sijajua nina kosea wapi. Imefika kipindi napiga malaya tu ila hayo maisha yamenichosha na pia nina hatarisha afya yangu. Sijaandika uzi huu kwa lengo la kutafuta mpenzi bali naomba mnishauri nina kosea wapi ili nijirekebishe na nimpate mwanamke ninaye muhitaji.

kwanza hapo nilipo bold ndio penye tatizo lenyewe.....wewe inaonyesha wazi ni domo zege unaamini ukiwa na swaga na sound na pesa basi huitaji kutongoza kwa kujishusha na kumpandisha mrembo ajione yuko juu ya dunia anauchumu mwezi.

Nani kakuambia kuwa pesa ndio kila kitu?....kama ingekuwa pesa ndio kila kitu basi mademu wakali wa kishua wasingeliwa maana mzigo wanao..they got it all.

Kama unadhani sound zako zipo vizuri...basi andika script ya jinsi unavyomtongoza demu kuanzia unapomuona mpaka unapomsalimia na kuanza kuziingiza sound zako nitakusaidia kujua unapokosea.

Kukusaidia ni kukushauri umrudie demu wako wa mwanzo uliyejimwagisha wakati huna ubavu wa kukamata wanyama wazuri porini....pole simba mzee.
 
Wewe umeshagundua ulipokosea nenda utubu na umuombe radhi huyo dada na usimrudie maana umesha lamba weng na magonjwa lazma unayo meng tu.
 
Malipo ni duniani, akhera kuhesabiwa tu!
 
Laana hiyo ya mchuchu uliemuumiza inakusumbua. Fanya umtafute mmalizane
 
Sa kama kila ukitongoza unatoswa, huo umalaya unapiga na nani? Au na mkono wako plus dear soap?
 
Karma is a bitch😒😒😒😒😒😒😒
 
Vijana wa miaka hii huwa wanaongezeka vimo tu na maumbile lakini akili zao zinabaki palepale utotoni.....
 
Pole sana kaka,naamini wewe bado hujajua unataka nini,muombe Mungu akusamehe then uombe akufungulie ujue unachokitaka,Inaweza kuwa hitaji lako ndo huyo uliemtosa..
Wakati nipo chuoni kuna mkaka nae alinifanyia kama wewe ila mimi nilimsamehe kabisa ila siwez kumtrust tena na ana miaka miwili anatuma married proposal kaz yangu ni kureject.Nimekutolea huu mfano kukuonyesha kuwa usipotubu hautokuwa trusted maisha yako yote na asikwambie mtu trust huongeza raha ya aina yake kwenye mahusiano yoyote yale.
 
Yaani inamaana kosa hujaliona kweli asiyejua maana haambiwi maana?
 
Back
Top Bottom