Wakuu naomba msaada wenu.
Mara nyingi roho inaniuma sana ninapoona mchepuko unafika juu ya mlima Kilimanjaro tena kwa mbwembwe na madaha sana. Kuna wengine hufika huko zaidi ya mara moja.
Kinachokera zaidi wengi wao wakishafika huko hawataki tena shughuli ya kupanda mlima. Na wakipanda hupanda ili mradi tu waonanekane wanapanda mlima.
Ilisoteshe invoce nayotakiwa kulipwa iko palepale bila hata discount.
Hili ni tatizo langu tuu au na wengine naomba uzoefu wenu