Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,188
- 27,046
Duuuuh hatariWadada hawabagui sana, maana wanaujua mziki wetu, wadada wabaguzi wapo Italy , lakin wadada wa Urusi wapo after money hata uwe mbwa ilimradi anahisi atabenefit kitu kwako haeez kukuonesha,
Kuna watu wanatangaza nyumba za kupanga au hotel ana spesfy kwamba for Italian, au Kabayan only (wafilipino) saa nyingine mnaweza ongea na mtu Kwa simu akigundua ni Niga anakublock bila sababu
Sent using Jamii Forums mobile app