Naulizia zilipo ofisi za ORXY ernergy, maeneo ya Mandela Road DSM.

kalemauji

JF-Expert Member
Jun 24, 2014
1,549
1,653
Habari zenu wadau, naulizia zilipo ofisi za ORXY energy wazalishaji wa vilainishi vya magari na mitambo kwa hapa DSM nimeelekezwa wanapatikana Mandela Road sasa Mwenye kufahamu ofisi yao
ilipo hapo Mandela Road naomba anielekeze.
Ahsanteni sana wandugu.
 
ukifika makumbusho satnd ya hiece, panda gari za kuelekea posta au kariakoo zenye mistar ya zambarau waambie wakushushe victory, kituo cha kwanza kutokea makubusho cha daladala

then tembea mbele kidogo utaona sheli ya Victory, ulizia jengo la acasia, au unaweza kuliona hapo pemben shel ni refu kias chake...

kwenye hilo gorofa, uliza ofis za Oryx watakuelekeza ni floor ya ngap
 
Oryx si wapo kule badalini? Washahama?
 
Panda gari za kwenda mbagara shukia kituo cha ufundi (kurasini) kisha ulizia utaelekezwa mkuu
 
Oryx si wapo kule badalini? Washahama?
kule ni sehemu ya karakana na store, that means the operation point and services is there karibu na bandar..

but offices and management yote ipo victory, na maana administration and other monitoring ofices z
 
Mi nilijua kule Zamcargo ndio ofisi zao.
 
Wapo karibu na daraja la Kigamboni... Panda gari za Kurasini Shimo la udongo... Kutoka hapo sio mbali sana.
 
Back
Top Bottom