Naulizia ilipo service center ya Huawei

Naulizia ilipo service center ya Huawei

Sir_Mimi

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2013
Posts
7,207
Reaction score
15,890
Habari wakuu
Naulizia ilipo service center ya Huawei K/koo kama wana tawi lao kwa yeyote anayejua naomba anifamishe.nina simu yangu Huawei P10 Lite imevunjika kioo nahitaji kwenda kubadilisha.pia kwa mwenye idea itaweza kuni-cost bei gani naomba anisaidie!
 
Jaribu kwenda mlimani city dsm,kulikuwa na Huawei centre Yao pale

Ova
 
Mie nina Y600 nahitaji mfuniko wa nyuma pamoja na betrii yake
 
Mie nina Y600 nahitaji mfuniko wa nyuma pamoja na betrii yake
Hawa jamaa inaonekana hawana office zao town zaidi ya kwenda kwa mawakala tu,na mawakala ukienda wanaweza wakakupiga bei mpaka ukashangaa.
 
Hawa jamaa inaonekana hawana office zao town zaidi ya kwenda kwa mawakala tu,na mawakala ukienda wanaweza wakakupiga bei mpaka ukashangaa.
Nasikia soko la bongo wamechemka, wamefunga ofisi
 
agiza kwa njia ya ebay.

1.Kafungue akaunt bank abcutapewa kadi siku hio hio
2. Jiunge paypal
3.AJiunge ebay then agiza kifaa unachohitaji kwa p.o.box yako/
 
Service center yao ilikuwa kwenye ile Mall iliyopo makutano ya Morogoro Road na Bibi Titi Mohamed. Opposite na DIT. Sijui kama bado ipo.
 
agiza kwa njia ya ebay.

1.Kafungue akaunt bank abcutapewa kadi siku hio hio
2. Jiunge paypal
3.AJiunge ebay then agiza kifaa unachohitaji kwa p.o.box yako/
Asante kaka,ila kabla sijafika huko nataka hii iwe plan b ningependa kwanza niangalie gharama zao hapa zinafananaje may be zinashabihiana so naweza nikatumia njia uliyonishauri ila ikawa sija-save kitu muda na vitu kama hivyo na mimi sio mwenyeji sana wa biashara za mitandaoni.ila nashkuru nitajaribu
 
Service center yao ilikuwa kwenye ile Mall iliyopo makutano ya Morogoro Road na Bibi Titi Mohamed. Opposite na DIT. Sijui kama bado ipo.
Asante mkuu nitajaribu kutembelea mitaa hiyo kesho.
 
Back
Top Bottom