inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 656
- 728
Wadau habari, naulizia chuo wanachofundisha umeme wa magari
Aende VETA ajifunze umeme wa land lover halafu aje atengeneze AUDI zetu??Pita kwenye vyuo vya veta mahala mkoa ulipoko utapata Mwongozo mzuri, ukiwa unatoka chuo tafuta garage yoyote mtaani itakusaidia kupata uzoefu zaidi ktk utendaji wako. kubali kufundishika jiwekeze ktk kujifunza zaidi ili uje unufaike na ujuzi unao utafuta. Mungu akujaalie ufanikiwe hitaji la Moyo wako likawe la baraka na faida ktk maisha yako kwa siku zijazo.
Hata hapa Tanzania anaweza kufanya vyema ndugu yangu, kikubwa na yeye mwenyewe awe na moyo na hicho anachotaka kujifunza , asiende kujifunza kwaajili amekosa msimamo mahala kwinginealipo kuwa anatazamia.Aende VETA ajifunze umeme wa land lover halafu aje atengeneze AUDI zetu??
Aende Nairobi atapata garage bora kujifunzia.
Lazima uanze na basic kiongozi hata Aircraft maintenance huanzi na current plane sembuse gari.Aende VETA ajifunze umeme wa land lover halafu aje atengeneze AUDI zetu??
Aende Nairobi atapata garage bora kujifunzia.
Ndo hivo sasa VETA wanaanzia landlover halafu wanamalizia stout.Lazima uanze na basic kiongozi hata Aircraft maintenance huanzi na current plane sembuse gari.
Yeah. Awe na commitment.Hata hapa Tanzania anaweza kufanya vyema ndugu yangu, kikubwa na yeye mwenyewe awe na moyo na hicho anachotaka kujifunza , asiende kujifunza kwaajili amekosa msimamo mahala kwinginealipo kuwa anatazamia.