Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Wewe Nduka ulimaliza bia ukadhani zimemwagwa?
Ngoja mimi, Erickb52, Mr Rocky, Filipo, Passion Lady, PakaJimmy, Mzee wa Rula KOKUTONA, Baba V, Lady doctor na Bishanga tukuongezee zingine.
akha mi za kwangu usimpe
mtu nitazinywa mwenyewe
kinana zangu Nduka aache ubahili
anunue za kwake!!
Afu bibie unajua nakutafuta sana? Hebu twende PM fasta nikuambie kitu kizuri kati yetu.
Jamani Passion Lady vipi unavamia pombe yangu?
Mambo?🙂
Mambo?🙂
Mwaaaaaah!!!!!!!!!!!!!!
Mimi nina hasira wewe unacheka tu, nasema nani kamwaga pombe yangu?
Erickb52 kakua sasa hata ndevu kaanza kuota.
hahahaaa!!hivi kumbe hakua na ndevu
na ana mabibi kibao,sasa zimeota si ndio
itakua balaa!!
Alijibemenda mwenyewe huyo kijana Erickb52 tangu akiwa mdogo. Ngoja sasa amekua atajibeba kwani itabidi aongeze wake wengine kwa mujibu wa mila zao kwani hazipishani sana na za Jacob Zuma.
poa keizer
upo?za kupotea!!