Nauliza tu!!!

Nauliza tu!!!

ilikuwa ndotoni hiyo
Huko angani ukiacha umemba pia kuna kuchimba dawa, kuna siku nikiwa naenda Ulaya rubani alitushusha juu kwa juu tuchimbe dawa halafu tukarejea kwenye ndege na kusonga na safari
 
ndio..kuna u memba na class pia
labda tuwaulize waliowahi kupanda ndege za UNGO kama kuna pass ya memba nako huko?

:flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig::flypig:
 
Kipind cha nyuumaaa ATCL walikua wanatoa free tickets ila ni kwa wafanyakazi wa kampuni tu...pia kama umesafiri mara nyingi...
 
Back
Top Bottom