Nauliza tu..............!!!!

zumbemkuu

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2010
Posts
11,362
Reaction score
9,882
neno BIKRA linatumika kwa wanawake tu?
Je wanaume ambao hawajananilii bado waitweje?
 
Ngoja waje wajuzi wa kiswahili.....
 
kuna jamaa alimuita mwenzie bikra ukazuka ugomvi mkubwa sana.

Nahisi haina tatizo hata kama itatumika kwa mwanaume, lakini tusubiri wataalamu wa lugha watufafanulie.
 
Nahisi haina tatizo hata kama itatumika kwa mwanaume, lakini tusubiri wataalamu wa lugha watufafanulie.
mkuu wewe uitwe bikra utakubali? hahahahahaha
 
Embu jaribu kupeleka kule kwenye jukwaa la lugha huenda ukapata majibu ya uhakika au kwa vile inahusisha sehemu nyeti za mwili embu peleka kule jukwaa la jf doctors usikilizie majibu.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…