Nauliza tu wajameni, yule Mbunge aliebinuka bungeni kwenye meza, alirudi bungeni awamu hii?

Chibike

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
4,896
Reaction score
7,522
Hata simkumbuki jina...ila nikiwa hapa kanisani leo katika kanisa takatifu la kimitume katoliki parokia ya uparokiani Askofu anazungumzia jambo , anasema kua unaweza kua mtu mzima ila akili huna..

Ndio nikakumbuka tukio la mbunge aliechaguliwa Sasa sijui alichaguliwa na wananchi ama aliwekwa, ambaye alibwabwaja sana akaona haitoshi akaamua abinuke Yani makalio yakae juu na miguu juu, juu ya meza za bunge. Hivi yupo ? Mnaoangalia bunge.

Nchi yetu Ina mambo mengi hivyo lazima kama mtanzania uendane na Kasi yake, muhimu uweke bando tu hata ya kukopa ili usipitwe. Tuko parokiani tunavizia vizia tusikie Kauli za maaskofu leo katika mahubiri kama watagusia safari ya Vatican

Tumsifu Yesu Kristu
 
Mimi nilimuunga mkono. Maana hii nchi bila maigizo husikilizwi. Kama kwa kufanya vile walimsaidia shida yake kwanini asipige sarakasi
 
Alikatwa,akalia akahamia Act baadae akaona arudi kutubu akapokelewa kundini akapewa usajiri wa mpenzi mtazamaji
 
Alikuwa mbunge wa Mbulu Flatey Massay sasa yuko ACT,

Screenshot-2022-05-23-at-16.37.19.png
 
Back
Top Bottom