uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 19,862
- 38,493
Sasa kama wanadalili sisi tufanyaje unajua mtu akionekana hajitambui anapatiwa jina nimetukanwa na wanaume humu wengi tu matusi mengi tu nahuku Mungu aliwapa cheo , nyumbani na kawapa hekima na humu sijaona ni baadhi Tena wameoa
Una shida mahali