MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,588
It is possible,since watu wanaoana kwa sababu nyingi,mwingine kwa kuwa kampa mtu mimba,wengine huruma etc,so kuna uwezekano wa kukutana na watu nje wanaoweza kuwa na true love na compatible kuliko wale waliowaoa au kuolewa nao.
Yah inawezekana kabisa ila walio wengi wanajidanganya kwamba walikosea kumbe wenza wao ndio walikosea kuwachagua wao. Pia unaweza ukajikuta umefika kabisa kwa mwenza wako na ukajiridhisha kwamba he is the one lakini badae unakuja kukutana na mwingine kwa huo wizi na kuhisi ulifanya kosa pale mwanzo.lakini huwezi fanya lolote unabaki ku wish tu.
Ila nachojua mimi wengi hasa wanaume wanapokuwa na nyumba ndogo huwa wanataka kuwridhisha kwamba wanawapenda kwa kuwaambia maneno kama hayo, ukimwambia adivorce sababu kibao.kwa hiyo usiamini sana unapoambiwa kwamba alikosea kuoa fulani kwamba wewe ndio ulitakiwa uwe mkewe
Napita tu habari zenu
Mbaya kabisa...hupatikani.....ama ndo Dowans....
Mtizamo wako my dear kwen hili....please...
Aksante sana Gaga okay so its true kuwa you can find your true love in nnyumbandogoism.............hiyo ya how to do about it sasa inategemea na mambo mengi. Of course hata wewe nyumba ndogo unapofikia hatua ya kumwambia amdivorce mkewe unakuwa selfish na haileti mvuto......mwachie aamue mwenyewe na akiwa brave na kuamua mwenyewe it is becoming more romantic kuliko kujua kuwa amedirvorce kwa kuwa umemshauri..... But factors kama familia, watoto, miradi n.k pia inaweza ikawa inachangia kwa yeye kushindwa kudirvoce ili awe na wewe.
But here comes another dilema.......how comes sometimes kama situation hii inamkuta mwanamke mwenye ndoa........amefaal kwa nyumbandogo yake ya kiume akiambiwa adivorce ili aolewe nae huwa ni wepesi kukubali na kutekeleza?
Mwanakili90............................ aksante pamoja na kuwa umesema huna jibu la kunipa but umenipa jibu. Huu ni mfano tosha wa kuwa nyumba ndogo are there to stay if sometimes inawezekana kabisa kukawa na mapenzi ya kweli. Kwa huyu mbaba (tuashumu hajakolezwa kwa msaada wa juju maana hadi kusacrifice watoto huyu kapitiliza)mimi cna jbu la kukupa,ila hapa jirani yangu,anawake wawili wa kwanza ni wakigogo na anawatoto5 na mke mdogo amawatoto2 wapo primary ila huyu jirani hajag hme kwa mke wa1 hata mwez,na hela ya matumiz anamtuma m2 baki alete.nadhan umepata jbu la swal lako ingawa nimezunga sana.
Mjukuu mtiifu......
Heshima mbele....
Babu yangu aliwahi kuniambia kuwa asilimia kubwa ya wanaume huwa wanaoa wanawake wasiowapenda (sijui ni kama wa enzi zake au mpaka wa sasa) Lakini kiukweli kuna hiki kitu watu wanasemaga "wife material" ambapo wanaume wanaoa kwa sababu amekutana na mtu ambaye anadeserve kuwa mkewe kwa kuwa amefikia vile vigezo anavyoona vinafaa mtu kuitwa mkewe.
Unaweza kumpenda mtu sana lakini....damn....
Anapaka mkorogo, watanicheka watu
Mweusi sana, namimi nlivo mweusi watoto watakuwaje?
Da! mfupi kama mbilikimo, ntapitaje naye mtaani? nk nk nk
So unaoa yule ambaye ana vigezo ulivyojiwekea.....siku ukija kutana na yule mpaka mkorogo wako ambaye kiukweli ulimpenda, mnajirusha kama kawa....aftaroo siyo mkeo, nothing to loose........Mkeo mwenye 'wife material' yuko home analea watoto we unajirusha na yule umpendaye ila tu kwa kuwa hana 'wife material' hukumuoa.
Angalia hata hapa JF vijana wengi wanavyotafuta watu wa kuoana sifa wanazowekeana...:Awe na digrii, awe mrefu, mkristo, msambaa,mrefu, mnene et el....as if mapenzi yana vigezo!
Hivi nlijibu swali? Ahaa sikujibu? Orayt, jibu ni Yes, unaweza kupata true love kwenye nyumba ndogo, endapo tu ulioa 'WIFE MATERIAL'!