Ng'wale
JF-Expert Member
- Nov 24, 2011
- 4,688
- 3,395
Kwa hiyo unasemaje hapa?Katika muundo wa kiutawala hao wana usalama wote wasingeweza kumtia nguvuni Sabaya bila order ya juu kutoka kwenye mamlaka ya uteuzi wake
Na si kwamba hawakujua bali waliyajua na pengine waliyaripoti lakn no order no arrest
Na sio tu Sabaya, hata akiwa Waziri Mkuu, waziri, Katibu mkuu, wakurugenzi na wengne wenye wadhifa ya kuteuliwa na Rais hawawezi kutiwa nguvuni ikiwa wamefanya uhalifu bila idhini au order ya mwenye mamlaka ya uteuzi wake
Pia Rais anadili na mambo mengi sana sana ya nchi tena yale makubwa makubwa, hvyo sio kila taarifa humfikia yeye na kungoja maamuzi yake bali zingine huishia ngazi za kati either kwa Waziri Mkuu, Katibu mkuu kiongozi nk kulingana na chain of command ya kiutawala