Nauliza tu: CHADEMA sera yao ni ipi kwa sasa?

Nauliza tu: CHADEMA sera yao ni ipi kwa sasa?

Chadema ni chama cha wala bangi na wanyang'anyi
uploadfromtaptalk1471352712220.jpeg
 
Pamoja sana Comredi. Sasa hivi CHADEMA wametepeta. Nakumbuka enzi zilee ulipokuwa unaongoza mashambulizi wakati CHADEMA ipo na makamanda kama akina Dr Slaa, John Mnyika, Marehemu Mohamed Mtoi, Michael Aweda, Godbless Lema, Maskini Mkulima, Zitto Kabwe na wengineo. Kwa sasa waliopo ni wepesi sana. Hawana hoja bali vioja. Wakijitahidi sana wanaishia kutukana
uploadfromtaptalk1471352801767.jpeg
uploadfromtaptalk1471352807565.jpeg
 
Kuwaachia uamsho na Babu Seya!! Ndiyo Sera hizo! Kazi kweli kweli!!
 
Hizo porojo za kwenye makaratasi hazilingani na matendo yenu Kabisa! Ndio maana hamuaminiki tena period!
Hivi Andrew Chenge, Muhongo, Tibaijuka si wako Chadema!!!! Si unakumbuka tuhuma zao.cdm hawafai kabisa.
 
Badala ya kumuuliza mwenyekiti wako vipaumbele vyake ni vipi....unapost ujinga apa...we utakuwa ulifyatuliwa mana akili huna
 
Mosi, Katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2015-20 kuanzia Ukurasa wa 6 - 15 tumeweka wazi msimamo wetu kupambana na Ufisadi ,Uzembe kwa watumishi wa Umma n.k

Tukasena ni lazima tuboreshe mazingira ya watumishi wa umma na pia tukaahidi tungekua tunatoa option ya kuwalipa mishahara watumishi hata mara mbili kwa mwezi.Kwa mfano kama unalipwa laki 6 kwa mwezi una uwezo wa kuchukua laki 3 ndani ya wiki mbili na nyingine mwisho wa Mwezi

Lengo ili watumishi waishi maisha ya staha waepuke kukopakopa kunakotweza

Pili,Katika kupambana na Ufisadi tukaahidi kuipa meno TAKUKURU kwa kubadili Sheria ambayo ingewafanya waweze kufikisha mahakamani kesi za ufisadi bila kupita kwa DPP ambae mara nyingi hukwamisha kesi

Mkurugenzi wa TAKUKURU uteuzi wake uwe unathibitishwa ba Bunge

Juzi Magufuli kamfukuza Hoseah lakini kumbe tatizo sio Hoseah.Mambo yako vilevile

Tatu,Katiba Mpya ndio suluhu ya kila kitu

Ndiyo hayo ambayo CHADEMA kilitaka kupeleka kwa wananchi lakini watawala wakazuia mikutano ya hadhara

Hapo ndipo tulipoamua kuungana kuunda umoja wa kupambana na Udikteta Tanzania na kujenga UKUTA
Vipi ule ufisadi wa Lowasa mlotuaminisha takribani 8 years, kama yuko safi mnapango gani wa kuujulisha uma kwa njia ile ile mloitumia kuujulisha uma juu ya ufisadi wa ENL?
 
Mosi, Katika Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2015-20 kuanzia Ukurasa wa 6 - 15 tumeweka wazi msimamo wetu kupambana na Ufisadi ,Uzembe kwa watumishi wa Umma n.k

Tukasena ni lazima tuboreshe mazingira ya watumishi wa umma na pia tukaahidi tungekua tunatoa option ya kuwalipa mishahara watumishi hata mara mbili kwa mwezi.Kwa mfano kama unalipwa laki 6 kwa mwezi una uwezo wa kuchukua laki 3 ndani ya wiki mbili na nyingine mwisho wa Mwezi

Lengo ili watumishi waishi maisha ya staha waepuke kukopakopa kunakotweza

Pili,Katika kupambana na Ufisadi tukaahidi kuipa meno TAKUKURU kwa kubadili Sheria ambayo ingewafanya waweze kufikisha mahakamani kesi za ufisadi bila kupita kwa DPP ambae mara nyingi hukwamisha kesi

Mkurugenzi wa TAKUKURU uteuzi wake uwe unathibitishwa ba Bunge

Juzi Magufuli kamfukuza Hoseah lakini kumbe tatizo sio Hoseah.Mambo yako vilevile

Tatu,Katiba Mpya ndio suluhu ya kila kitu

Ndiyo hayo ambayo CHADEMA kilitaka kupeleka kwa wananchi lakini watawala wakazuia mikutano ya hadhara

Hapo ndipo tulipoamua kuungana kuunda umoja wa kupambana na Udikteta Tanzania na kujenga UKUTA
.
Ben, Una moyo kweli. Hata baada ya kutemwa katika reorganisation iliyofanywa na Mashinji, bado unaandika tume..., tuka..., na tuna.... Ungesema wata..., wana... au wame... ungeeleweka zaidi. Nazani ZZK atakuwa yuko anachekelea sana!
 
Yaan unategemea. Mwaka 2020 nijipange folen kuwapigia tena wapuuzi kura yangu ,yaan CHADEMA imekuwa ya
1. Kutetea mafisadi, wamemtetea lowassa na wengineo kila atakaye toka ccm kwa kashfa kwao ni mgeni rasmi
2. Inatetea wezi wa raslimali za umma, MTU akifukuzwa anatetewa
3. Watetezi wa wazembe kazini
4. Watetezi wa mashoga na nyimbo au maadili feki maana vituo vikifungiwa kwa kuhoji mashoga wanawatetea
5. Watetezi wa wakwepa kodi kama kitilya
6. Watetezi wa wanadhilifu wa Mali ya umma
7. Watetezi wa umwagaji damu
8. Watetezi wa kudidimiza maendeleo kwa kuwaambia watu wasichangie madawati
9. Wachochezi baina ya RAIA kwa RAIA
10. Wanaoombea taifa likwame katika ukusanyaji mapato
11. Wanaotetea wawekezaji wakubwa kuwanyanyasa wadogo pale chato
12. Wanaoshangilia upuuzi na kuwahadaa vijana kuandamana uku wao wamelala Dubai ili vijana waumie
13. Wanaopinga upanuzi wa barabara jaman

Ukishabikia chama Cha namna hii we ni mjinga sana
 
Kwani kinachoisumbua Tanzania ni ufisadi tu? Hebu tuache kukariri.
 
HIVI NYIE MNAJUA MAANA YA SERa ktika chama cha siasa au mnaandika tu ili mjisikie vzr,,,Mnahisi sera ni UFISADI au nn?
 
Baada ya kuuthibitishia Umma kwamba walitudanganya na Sera yao ya Ufisadi na kupigania Rasilimali za Umma, naomba kuuliza swali dogo tu kwa CDM;
Kwa Sera yao ni ipi na je, wana mpango gani kuhusu kuzunguka Nchi nzima kuwaomba radhi Wananchi kwa ulaghai wao?

Pili ile KATIBA waliotudangaya mpaka tukawapigia Kura 6m iko wapi na mbona hatuoni harakati zozote za kuipigania badala yake tunasikia Ujenzi wa UKUTA tu! Au ndiyo tumepigwa change la macho tena? Kama ndivyo nani atawaamini tena kwa kudanganya kwa mara ya pili?

Tatu, Ruzuku ya CDM inafanya kazi gani mbona hata Ofisi ya Makao Makuu inatia aibu? Kama lengo kweli ni kuchukua dola, CDM si ndio itatuangusha kabisa kama kujenga Ofisi tu inakuwa shida, vipi mambo makubwa ya Nchi?

NAULIZA TU!
  1. Walianza kwa kuzomea bungeni
  2. Wakaja kuwa wanatukana bungeni (dole la Mh. Mbilinyi)
  3. Wakasusa vikao vya bunge kwa amri ya Dj
  4. Siku ya siku Dj akawaamrisha wazibe midomo maana walikuwa wakitoka wanalalamika kuwa wanaonewa na Dj
  5. Baada ya kuona kuwaziba midomo haitoshi
  6. Sasa Dj alikuja na amri nyingine tena ya KUWA SHIKISHA UKUTA wanachama wote wa CHADEMA
 
Kawasaidie maana wewe una mawazo mazuri otherwise Ni Tumbo lako Na uroho WA kutafuta hali yako njema
 
Nimefuatilia uzinduzi wa Kampeni za Udiwani Jimbo la Murriet Arusha na Mtoni Kijichi ambako Lema na Sumaye walikuwa wageni rasmi. Haki ya Mungu inachekesha kuona kwamba CHADEMA sasa haizungumzii issues za kumsaidia Mtanzania kujikwamua kimaendeleo badala yake ni porojo za kitoto na zisizo na tija wala mashiko kwa Wananchi.

Sijaona walipozungumzia wananchi watapewaje na (CHaDEMA) elimu bora. maji safi, huduma bora za Afya, barabara nk na CHADEMA imejiandaaje kukabiliana na Rushwa na Ufisadi na kudumisha Utawala Bora!!

Tunachokisikia ni Lema kujisifu haogopi Polisi wala Jela na Sumaye huyu huyu aliyekuwa Waziri Mkuu kwa miaka 10 na katoka CCM juzi tu baada ya kushiba marupurupu ya Kodi zetu akiwa Kiongozi Mstaafu anawakashifu wananchi kuwa wanakula miguu ya Kuku kwa sababu ya CCM. Ukichunguza mantiki ya kauli ya Sumaye ni kama anajisifu kwamba pesa za kuwapa huduma Wananchi ni yeye anakula kama Mstaafu badala ya wananchi walipa Kodi katika utaratibu ambao kama anaona umeandaliwa na CCM ambako yeye alitoka alipaswa kurekebisha kabla hajatoka huko au angekataa kulipwa marupurupu ili Fedha hizo wananchi wapewe huduma.

Hapo ndio utagundua kwamba baada ya Dr Slaa kuondoka CHADEMA ndio imefilisika kabisa kiasi cha kutoaminiwa tena kwa kauli zake na matendo yake. NDOTO ZA CHADEMA kwenda IKULU ndio basi tena masikini kwa kuwa hakuna mwananchi mwenye akili atawaamini tena!!
 
Back
Top Bottom