Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Unaona kwa mbali wananchi 'wenye hasira kali' wanamshambulia mtu kwa KUMTUHUMU ni kibaka, wanajiandaa
kumvisha tairi na kumtia kiberiti. Unaposogea unajua ni kaka yako. Na unajua ukijaribu kumtetea na wewe
'unaunganishwa' kwa kutetea mhalifu. Hakuna kituo cha polisi karibu, huna simu mfukoni kwa wakati huo.
UTAFANYA NINI?