ryana fan JF-Expert Member Apr 27, 2018 2,632 3,051 Sep 11, 2019 Thread starter #21 peedee dise said: Mtoe lulu kwenye hiyo orodha Click to expand... Kwani ameolewa ?
BOB OS JF-Expert Member Dec 11, 2011 3,427 6,786 Sep 11, 2019 #22 Hiyo ni sawa kuuliza bikra kwa kahaba..........
ryana fan JF-Expert Member Apr 27, 2018 2,632 3,051 Sep 11, 2019 Thread starter #23 troublemaker said: Nimesoma title tu, lkn nikuulize. Wewe unaweza kuoa mtu unayejua fika ni malaya? Click to expand... ♀️♀️
troublemaker said: Nimesoma title tu, lkn nikuulize. Wewe unaweza kuoa mtu unayejua fika ni malaya? Click to expand... ♀️♀️
ryana fan JF-Expert Member Apr 27, 2018 2,632 3,051 Sep 11, 2019 Thread starter #24 nG'aMBu said: Tangu lini wadangaji wakaolewa hao ni kuchezea mikunyati tu basi Click to expand...
Sibonike JF-Expert Member Dec 23, 2010 17,277 17,983 Sep 11, 2019 #25 Bus la abiria usitake kujimilikisha upande peke yako. Ndiyo maisha waliyochagua.
jangala JF-Expert Member Feb 17, 2014 1,583 2,362 Sep 11, 2019 #26 Ushaambiwa Ni wasanii... Maisha yao Ni sanaa.. Muda wote wako location... Scene ikiisha wanarudi ktk review, Kisha wanaingia tena ktk scene ingine
Ushaambiwa Ni wasanii... Maisha yao Ni sanaa.. Muda wote wako location... Scene ikiisha wanarudi ktk review, Kisha wanaingia tena ktk scene ingine