Nauliza kuhusu mahusiano ya wanawake wa Bongo Movie kutoolewa

Bus la abiria usitake kujimilikisha upande peke yako.
Ndiyo maisha waliyochagua.
 
Ushaambiwa Ni wasanii... Maisha yao Ni sanaa.. Muda wote wako location... Scene ikiisha wanarudi ktk review, Kisha wanaingia tena ktk scene ingine
 
Back
Top Bottom