ryana fan
JF-Expert Member
- Apr 27, 2018
- 2,632
- 3,051
Habari za asubuhi wana JF?
Baada ya salamu nijikite kwenye mada husika.
Naombeni kuuliza pia kama wahusika wapo humu wanisaidie.
Nimejiuliza maswali mengi sana kuhusu hawa ndugu zangu na si kwa ubaya bali kwa mema tu.
Maswali niliyojiuliza yanahusu maswala ya ndoa na mapenzi ya dhati kati ya hawa mastar wetu wa tanzania au waigiza muvi wa bongo na wasanii wa music.
1. Je, ni kwanini hawa wasanii hususani wa kike hawaolewi? Mfano. Wema sepetu, Irine Uwoya, Jackline Wolper, Blandina chamila, anti ezekiel, Lulu Michael, Diva, Lulu, Hamisa Mobeto, Gigy money, Mdee, Jenifer Odama, yule aliyeigiza na kanumba Dengerous Desire nimemsahau kwa jina na wengine wengi unaweza kuwataja.
2. Je, ni kweli hawa ndiyo wanaosalitiwa katika mapenzi? Na kwanini wao tu ndiyo wasalitiwe? Kila siku wao ndiyo husalitiwa katika mapenzi why?
Nb. Hawa baadhi ya wasanii niliyowataja wanajiita kio cha jamii je, kio chao ni nini kwa jamii kama hawaoneshi mfano wa kuigwa na jamii?
3. Au ukiwa msanii huruhusiwi kuolewa ?
Haya ndiyo maswali yanayoumiza kichwa changu.
Nawasilisha.