Amjadey
Member
- Jun 29, 2011
- 83
- 31
Hivi ni kweli kwamba kuna baadhi ya vyuo vya umma vinawalipisha ada ya field laki moja kutoka kwa wanafunzi kwenda chuoni. Na kuwatishia wasipotoa watawazuia kuwapa ruhusa kwenda field ai kutokuwafanyia ukaguzi kabla ya kumaliza mda wa field.
Mwenye uhakika kuhusu hili naomba ufafanuzi. Je, mpango huu ni halali na tume ya vyuo vikuu imeruhusu. Maana ndugu zetu waliopo vyuoni wameanza kutuomba hela
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenye uhakika kuhusu hili naomba ufafanuzi. Je, mpango huu ni halali na tume ya vyuo vikuu imeruhusu. Maana ndugu zetu waliopo vyuoni wameanza kutuomba hela
Sent using Jamii Forums mobile app