Nauliza kuhusu kulipishwa ada ya field kwa wanafunzi wa vyuo vikuu

Amjadey

Member
Jun 29, 2011
83
31
Hivi ni kweli kwamba kuna baadhi ya vyuo vya umma vinawalipisha ada ya field laki moja kutoka kwa wanafunzi kwenda chuoni. Na kuwatishia wasipotoa watawazuia kuwapa ruhusa kwenda field ai kutokuwafanyia ukaguzi kabla ya kumaliza mda wa field.

Mwenye uhakika kuhusu hili naomba ufafanuzi. Je, mpango huu ni halali na tume ya vyuo vikuu imeruhusu. Maana ndugu zetu waliopo vyuoni wameanza kutuomba hela

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mwenye uhakika kuhusu hili naomba ufafanuzi. Je mpango huu ni halali na tume ya vyuo vikuu imeruhusu. Maana ndugu zetu waliopo vyuoni wameanza kutuomba hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawah sikia hii kitu..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi ni kweli kwamba kuna baadhi ya vyuo vya umma vinawalipisha ada ya field laki moja kutoka kwa wanafunzi kwenda chuoni. Na kuwatishia wasipotoa watawazuia kuwapa ruhusa kwenda field ai kutokuwafanyia ukaguzi kabla ya kumaliza mda wa field.

Mwenye uhakika kuhusu hili naomba ufafanuzi. Je, mpango huu ni halali na tume ya vyuo vikuu imeruhusu. Maana ndugu zetu waliopo vyuoni wameanza kutuomba hela

Sent using Jamii Forums mobile app
Tutajie ni chuo gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom