Nauliza jamani! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nauliza jamani!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Shery, Aug 10, 2011.

 1. S

  Shery Member

  #1
  Aug 10, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Habari zenu JF!naomba kuuliza jamani,mwenye ufahamu kuhusu application za diploma ktk fani za afya kupitia wizara ya afya zinatoka lini na je kama mtu atachaguliwa kusomea clinical officer(tabibu) atasoma kwa miaka mingapi?hapa namaanisha matokeo ya application zilizofanywa mwezi wa 4/5 mwaka huu.NAWASILISHA.
   
 2. K

  Kajole JF-Expert Member

  #2
  Aug 10, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 636
  Likes Received: 287
  Trophy Points: 80
  dah mkuu subir waje wanaojua
   
Loading...