Serikali ifute NACTVET, Inaua ubora wa mfumo wa elimu ya Afya Tanzania

Megalodon

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,653
4,997
Chini ya Nactvet tumeona taalauma ya famasi ambayo ni taaluma muhimu kwa kulinda Afya za Watanzania hasa juu ya matumizi ya dawa ikifanywa ni taalamu isiyo na thamani juu ya ulinzi wa Afya.

Chini ya Nactvet diploma ya famasia inaweza kusomwa na candidate mwenye FFFDD kwenye masomo yake; tukumbuke hawa ndio washauri wetu madaktari kwenye matumizi sahihi ya dawa.

TAARIFA ambazo zisizo RASMI, Nactvet kwa kushirikiana a wamiliki wa vyuo na mabaraza wanaosimamia professional za Afya wanakwenda kulobby kuhakikisha Clinical Officer na Diploma za Nursing ziweze kusomewa na mtu mwenye FFFDD . Hii ni whistleblowing na hatua hii ikifanikiwa itakwenda kuwaangamiza watanzania ambao wanategemea hawa watu wawe ni critical kuokoa Afya zao.

F means failures, kozi za Afya hazihitaji hawa watu kwa sababu ni Life na death.

Serikali iunnde tume kuchunguza uhusiano wa wamiliki wa vyuo vya Afya Tanzania, Baraza zinazosimamia hizi
Professiional, MCT kwa sisi madaktari, na hao famasi pamoja na nursing, Nactvet pamoja na Wizara ya Afya; kuna viashiria vya RUSHWA kwenye kutengeneza admission criteria.

Serikali ichunguze Baraza la Famasi Tanzania ambao ndio walio propose FFFDD iweze kusomea diploma ya Famasi. Hapa kuna viashiria vikubwa vya Rushwa na waliohusika , ikibainika, wachukuliwe hatua za kisheria kwa kwenda kuangamiza Afya za watanzania.

Ofisi inayohusika na Famasi wizara ya Afya Ichunguzwe na kuna namna idara hiyo inachakujibu.

Nashauri pia Baraza la Famasi Tanzania livunjwe na shuhuli zote za usimamizi wa dawa zirudi TMDA. Baraza hili limekosa tija na mchango kwenye jamii.

Baraza la Madaktari Tanzania ( MCT) tusije kuruhusu huu uozo tutakwenda kuwaua watanzania kwa mikono yetu.

Baraza la Nursing mchukue tahadhari na any lobbying, tunahitaji kuwa na strong health system kwenye Taifa.

Usimamizi wa kozi zote za Afya urudi chini ya TCU,Nactvet over 10 years inaua mfumo wa Afya Tanzania kuanzia level ya Diploma.

East Africa nzima, hakuna nchi ambayo inaruhu FFF isome Clinical , au diploma nursing au diploma famasy; only Tanzania.

Kenya kusoma diploma ya famasi, minimum criteria ni C kwenye all subject , same to Uganda and Rwanda .Tanzania kila kitu tunaweka RUSHWA mbele hata kwenye mambo serious na sasa mnataka kuingia kwenye Clinical , na nursing baada ya kuiangamiza famasi, hii haitokubalika

Mwisho, Serikali irudishe vigezo vya TCU kwenye kusoma diploma ya Famasi kwa manufaa ya Tanzania!

Dr Mushy Megalodon

Ottawa, Canada!
 
Pamoja na hayo yote unaambiwa zaidi ya watanzania milioni 40 hawajafikia Elimu ya Form four.

Acha serikali ianzishe kila aina ya mbinu kukuza Elimu

hata hao wenye AAA ndio walioacha mikasi tumboni mwa wagonjwa baada ya operation

Tutafika tu hivyo hivyo mkuu wangu tuvumiliane
 
Huwezi ku justify bads for good

Hiyo ni fallacy , error in reasoning
 
Binafsi nilitarajia Ujikite kuhimiza mabaraza yenu yanayosimamia Mitihani ya hivyo vyuo.
Maana kuna vijana wengi hawakupata ufaulu mzuri sana Secondary lakini walihitimu hizo Diploma na GPAs kubwa tena kuwazidi wale waliopata ufaulu mzuri Secondary.

Hoja yangu ni NACTVET na Boards zenu zishirikiane katika kuwaandaa vizuri hao Personnels kuanzia ufundishaji mpaka uratibu wa mitihani. Wale wanafunzi watakaoshindwa kufaulu mitihani ya mwisho waendelee kurudia masomo kama ilivyo hivi sasa.
 
Acha watu wasome mkuu ,ukiwa marekani hata Kama umesoma HKL unaruhusiwa kusomea kozi yoyote ya Afya na unaweza kuwa hadi kaktari.
 
Binafsi nilitarajia Ujikite kuhimiza mabaraza yenu yanayosimamia Mitihani ya hivyo vyuo.
Maana kuna vijana wengi hawakupata ufaulu mzuri sana Secondary lakini walihitimu hizo Diploma na GPAs kubwa tena kuwazidi wale waliopata ufaulu mzuri Secondary.

Hoja yangu ni NACTVET na Boards zenu zishirikiane katika kuwaandaa vizuri hao Personnels kuanzia ufundishaji mpaka uratibu wa mitihani. Wale wanafunzi watakaoshindwa kufaulu mitihani ya mwisho waendelee kurudia masomo kama ilivyo hivi sasa.

Mabaraza yote MCT , baraza la Famasi mitihani yao inavuja sana, hiz professional kwa Tanzania zinaiufa

Nadhan Baraza la Nesi ndio pekee linafanya vema. Hata vigezo vya kusomea nesi vimeongezeka kwenda C tofauti na vigezo vya clinical au Diploma ya Famasi
 
Emu ngoja tusubirie Nacte Guide book ya 2024/2025 itoke tuone kama kuna mabadiliko alafu turudi hapa kujadiri vyema.
Maana Jumatatu Nacte wamerelease info ya kufungua dirisha la udahili kwa certificate na diploma lakini mpaka sasa hawaja release Guidebook
 
Mbona imeshatoka, check website yao
 
Chini ya Nactvet tumeona taalauma ya famasi ambayo ni taaluma muhimu kwa kulinda Afya za Watanzania hasa juu ya matumizi ya dawa ikifanywa ni taalamu isiyo na thamani juu ya ulinzi wa Afya.

Chini ya Nactvet diploma ya famasia inaweza kusomwa na candidate mwenye FFFDD kwenye masomo yake; tukumbuke hawa ndio washauri wetu madaktari kwenye matumizi sahihi ya dawa.

TAARIFA ambazo zisizo RASMI, Nactvet kwa kushirikiana a wamiliki wa vyuo na mabaraza wanaosimamia professional za Afya wanakwenda kulobby kuhakikisha Clinical Officer na Diploma za Nursing ziweze kusomewa na mtu mwenye FFFDD . Hii ni whistleblowing na hatua hii ikifanikiwa itakwenda kuwaangamiza watanzania ambao wanategemea hawa watu wawe ni critical kuokoa Afya zao.

F means failures, kozi za Afya hazihitaji hawa watu kwa sababu ni Life na death.

Serikali iunnde tume kuchunguza uhusiano wa wamiliki wa vyuo vya Afya Tanzania, Baraza zinazosimamia hizi
Professiional, MCT kwa sisi madaktari, na hao famasi pamoja na nursing, Nactvet pamoja na Wizara ya Afya; kuna viashiria vya RUSHWA kwenye kutengeneza admission criteria.

Serikali ichunguze Baraza la Famasi Tanzania ambao ndio walio propose FFFDD iweze kusomea diploma ya Famasi. Hapa kuna viashiria vikubwa vya Rushwa na waliohusika , ikibainika, wachukuliwe hatua za kisheria kwa kwenda kuangamiza Afya za watanzania.

Ofisi inayohusika na Famasi wizara ya Afya Ichunguzwe na kuna namna idara hiyo inachakujibu.

Nashauri pia Baraza la Famasi Tanzania livunjwe na shuhuli zote za usimamizi wa dawa zirudi TMDA. Baraza hili limekosa tija na mchango kwenye jamii.

Baraza la Madaktari Tanzania ( MCT) tusije kuruhusu huu uozo tutakwenda kuwaua watanzania kwa mikono yetu.

Baraza la Nursing mchukue tahadhari na any lobbying, tunahitaji kuwa na strong health system kwenye Taifa.

Usimamizi wa kozi zote za Afya urudi chini ya TCU,Nactvet over 10 years inaua mfumo wa Afya Tanzania kuanzia level ya Diploma.

East Africa nzima, hakuna nchi ambayo inaruhu FFF isome Clinical , au diploma nursing au diploma famasy; only Tanzania.

Kenya kusoma diploma ya famasi, minimum criteria ni C kwenye all subject , same to Uganda and Rwanda .Tanzania kila kitu tunaweka RUSHWA mbele hata kwenye mambo serious na sasa mnataka kuingia kwenye Clinical , na nursing baada ya kuiangamiza famasi, hii haitokubalika

Mwisho, Serikali irudishe vigezo vya TCU kwenye kusoma diploma ya Famasi kwa manufaa ya Tanzania!

Dr Mushy Megalodon

Ottawa, Canada!
Ni aibu kubwa sana. Uganda ili usome Diploma ya Clinical Medicine lazima uwe form Six mwenye angalau principal 1 na Subsidiary 1.

Mwennye form four anasoma certificates kwanza ndio baadae up grade to diploma sasa huku kwetu tunazidi kushusha vigezo .
 
Back
Top Bottom