Nauliza hiviii!!!! Ushawahi fika chumvini....

Nauliza hiviii!!!! Ushawahi fika chumvini....

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
820790_371979612900809_446831517_o.jpg
 
Chumvini ukimaanisha sehemu ama kule watu wanapotokea.....
 
Mababu na Mabibi zetu wameshafika huko, hata wewe ukitaka kuishi miaka mingi unaruhusiwa.
 
Kweli mbuzi mzee unatukumbusha mbali,unazungumzia Uvinza au kule kunako chumvini hasa?????
 
Binadamu style ya kuzama uvinza amecopy kwa mbwa
 
Kweli Mbuzi Mzee umenipatia kweli. Nimefungua thread kwa tahadhari kubwa nikiwaza: Kwa nini
mbuzi mzee alete hii topic J.P. badala ya kupeleka J.W? Kufungua thread bwana, naona rundo la chumvi ya kikwelikweliii, siyo ile 'chumvi' yetu. Hilo rundo la chumvi nshaliona Tanga, na Lindi. Wajua kaka kuchezea akili za watu.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom