Nauliza hivi, hawa watu ni ndugu?

Ni ndugu katika uananchi wa bongo kwa damu NO. Huyo Mkwere ndugu/binamu yake ni KAWA MBWA!
 
Membe alimsaidia sana JK kupangua maadui wake kisiasa mwaka 1995. Mnalikumbuka skendo la mke wa Hassy Kitine na matibabu yake kule Marekani? Sijui kama yule mama alirudisha zile pesa zetu! Mambo ya kughushi hayakuanza leo ati.
 
Membe ni senior shushushu. Mwaka 2005 alinyofoa na kupelekea JK document iliyoandaliwa na Intelligence Services kwa Kamati Kuu ya CCM iliyomkandia JK kuwa si presidential material. Hiyo doc ilikuwa na tuhuma kibao za JK hasa za kifisadi kuhusu mahusiano yake na akina EL na RA na ambayo ilikuwa immalize.

JK aliipeleka nyaraka hiyo kwa Ruksa na Kingunge huku akilia, watu ambao hatimaye waliomukoa na baadaye aklaja kuula upresident.
 
Jamani hivi huyu mama walikula njama na JK ama ilikuwaje maana hata enzi zile yuko marekani sijui walifanyaje fanyaje bill yao ya simu ilikuwa inaingia kwa jamaa zangu nawafahamu waliletewa bili ya simu za mamilioni alikuwa anaongea na mumewe masaa2 kwenye landline kutwa mara nne, nilishindwa kuelewa walifanyajefanyaje kuweza kuwabambikia watu bill zao za simu nakumbuka walipelekeshwa sana na ttcl but mwisho wa siku ikajajulikikana kuwa bill ni ya Mzee Kitine ss sijui kama hata hiyo bill ya simu ililipwa
 
Membe ni senior shushushu. Mwaka 2005 alinyofoa na kupelekea JK document iliyoandaliwa na Intelligence Services kwa Kamati Kuu ya CCM iliyomkandia JK kuwa si presidential material. Hiyo doc ilikuwa na tuhuma kibao za JK hasa za kifisadi kuhusu mahusiano yake na akina EL na RA na ambayo ilikuwa immalize.

JK aliipeleka nyaraka hiyo kwa Ruksa na Kingunge huku akilia, watu ambao hatimaye waliomukoa na baadaye aklaja kuula upresident.

alikuwa analia..hahaha. natamani ningemuona mzee mzima akitoa mchozi...madaraka bwana
 
Mleta mada kauliza hawa watu wanafanana? mbona tumeanza kujadili mambo mengine?
BTW, mi naona wanafanana miwani tu!!
 
lazima na vitu vya ndani vinavyofanya hao wafanane viwekwe, nadhani Mkwere kamuweka jamaa kwenye wizara ileile ili naye aje kumega mkate siku za mbeleni, hapo mimi ndio naona walipofanania
 
Membe na Kikwete hawafanani.

Membe hasa akiwa bungeni, wanasema yuko hivi:
Opheodrys_aestivus.jpg
 
Mleta mada kauliza hawa watu wanafanana? mbona tumeanza kujadili mambo mengine?
BTW, mi naona wanafanana miwani tu!!

Si unaelewa hapa ni barazani? mada zinazojadiliwa nyingi hazaa mambo mengine kabisa nje ya mada
ambayo hayahusiani na mada inayojadiliwa, kama umetembelea vijiwe vya kahawa basi utaelewa mambo ya hapo
kwani hapo huanzishwa mada na wengine katika kujadili huwa wanatoka nje ya mada kabisa kabisa.
 
Nyie mkitaka kuthibitisha, sikiliza sauti ya Membe redioni utafikiri ni ya Kikwete, na hapo hapo ukimwangalia hakuna tofauti, Kama sio ndugu basi duniani wawili wawili, lakini mbona wamebadilishana wizara?
 
Back
Top Bottom