Mi navyo jua nauri ya chini kabisa ya dala dala ni shillngi 300,
Hata ukishuka kituo kinacho fuata toka ulipo panda.
Sioni kwa nini nauri ya feri kupandishwa kuwa 200 watu
wanalalamika.
Mi binafsi ningependekeza ipande tena iwe shillingi 300 kama
dala dala.
Kwa kutumia makalio yako kufikiri unaona halali guta lilipe 1800 alafu vx,bmw na gari za aina hiyo zilipe 1500 unaona halali sio?
Mi navyo jua nauri ya chini kabisa ya dala dala ni shillngi 300,
Hata ukishuka kituo kinacho fuata toka ulipo panda.
Sioni kwa nini nauri ya feri kupandishwa kuwa 200 watu
wanalalamika.
Mi binafsi ningependekeza ipande tena iwe shillingi 300 kama
dala dala.
Mi navyo jua nauri ya chini kabisa ya dala dala ni shillngi 300,
Hata ukishuka kituo kinacho fuata toka ulipo panda.
Sioni kwa nini nauri ya feri kupandishwa kuwa 200 watu
wanalalamika.
Mi binafsi ningependekeza ipande tena iwe shillingi 300 kama
dala dala.
Tena ingekuwa 500, kama vp rudini vijijini kama sisi au pigeni mbizi
Maisha yakikushinda rudi bush