Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

Nauli mpya za mabasi ya mkoani hizi hapa!

Wakuu hizi ni za mwaka 2013 na huyy jamaa aliokota kichwani kwake, hakuna nauli ya Dar-Moro 10000,

Mkuu hakuna nauli ya 10,000 kwakuwa hakuna luxury bus ya Dar -Moro.

Zikifika hizo gari utakutana na hiyo nauli.
 
Mkuu hakuna nauli ya 10,000 kwakuwa hakuna luxury bus ya Dar -Moro.

Zikifika hizo gari utakutana na hiyo nauli.

Sawa mkuu inawezekana kabisa, kumbe Marcopol na Yotong sio Luxury bus, basi mimi mshamba sana. Ila naomba nikuulize, Luxury bus ni zipi ili next time nikiulizwa nisitie aibu tena kwa kutaja Marcopol km ni luxury
 
We JP.. ifakara malinyi kuna luxury..? Au tunahitajika kudefine luxury bis linafananaje??

Mkuu kwenye upangaji nauli kuna vitu vingi vinaangaliwa, hata kama hakuna gari la hadhi hiyo lazima kuwe na nauli elekezi ili itakapotokea mtu ameleta hizo luxury bus za Ifakara -Malinyi basi atoze nauli isiyozidi 9,000
 
Sawa mkuu inawezekana kabisa, kumbe Marcopol na Yotong sio Luxury bus, basi mimi mshamba sana. Ila naomba nikuulize, Luxury bus ni zipi ili next time nikiulizwa nisitie aibu tena kwa kutaja Marcopol km ni luxury

Luxury inaendana na huduma zilizopo kwenye bus husika, hizi Yutong nyingi tulizonazo ni semi luxury ambazo ni 2x2, Tv + fridge.

Kwa hapa kwetu kwa sasa luxury bus anazo Ratco na ni chache sio zote tunazoziona. Seat 1x 2, Tv, Fridge, Toilet , full air condition n.k
 
Dar -Iringa
Ordinary Bus Tsh18300, Semi Luxury Bus Tsh26300, Luxury Bus Tsh28900.

Dar -Mtwara
Ordinary Bus Tsh21500, Semi Luxury Bus Tsh29700, Luxury Bus Tsh32600.

Dar -Arusha
Ordinary Bus Tsh22700, Semi Luxury Bus Tsh32800, Luxury Bus Tsh36000.

Dar -Babati
Ordinary Bus Tsh29000, Semi Luxury Bus Tsh41800, Luxury Bus Tsh45900.

Dar -Bukoba
Ordinary Bus Tsh55100, Semi Luxury Bus Tsh77300, Luxury Bus Tsh85000.

Dar -Dodoma
Ordinary Bus Tsh16700, Semi Luxury Bus Tsh24100, Luxury Bus Tsh26400.

Dar -Kigoma
Ordinary Bus Tsh58800, Semi Luxury Bus Tsh80900, Luxury Bus Tsh88900.

Dar -Lindi
Ordinary Bus Tsh17800, Semi Luxury Bus Tsh24400, Luxury Bus Tsh26800.

Dar -Mbeya
Ordinary Bus Tsh30700, Semi Luxury Bus Tsh44300, Luxury Bus Tsh48700.

Dar -Moro
Ordinary Bus Tsh 7100, Semi Luxury Bus Tsh10300, Luxury Bus Tsh11300.

Dar -Moshi
Ordinary Bus Tsh19800, Semi Luxury Bus Tsh28500, Luxury Bus Tsh31300.

Dar -Musoma
Ordinary Bus Tsh50800, Semi Luxury Bus Tsh73200, Luxury Bus Tsh80500.

Dar -Mwanza
Ordinary Bus Tsh42600, Semi Luxury Bus Tsh61400, Luxury Bus Tsh67500.

Dar -Shinyanga
Ordinary Bus Tsh36600, Semi Luxury Bus Tsh52700, Luxury Bus Tsh57900.

Dar -Singida
Ordinary Bus Tsh25500, Semi Luxury Bus Tsh36800, Luxury Bus Tsh40400.

Dar -Songea
Ordinary Bus Tsh35000, Semi Luxury Bus Tsh50600, Luxury Bus Tsh55500.

Dar -Sumbawanga
Ordinary Bus Tsh45100, Semi Luxury Bus Tsh62100, Luxury Bus Tsh68200.

Dar -Tabora
Ordinary Bus Tsh39000, Semi Luxury Bus Tsh54700, Luxury Bus Tsh60100.

Dar -Tanga
Ordinary Bus Tsh12800, Semi Luxury Bus Tsh18500, Luxury Bus Tsh20300.

Dar -Kibaha
Ordinary Bus Tsh1000, Semi Luxury Bus Tsh1500, Luxury Bus Tsh1600.

Source?
 
Naombeni kujua mwenye ufahamu wa route ya Dar to Kibondo via kahama,
je kuna basi za moja kwa moja? na nauli kiasi gani
kama hakuna ,nauli ya kutoka kahama kibondo ni shi ngapi?
 
Naombeni kujua mwenye ufahamu wa route ya Dar to Kibondo via kahama,
je kuna basi za moja kwa moja? na nauli kiasi gani
kama hakuna ,nauli ya kutoka kahama kibondo ni shi ngapi?

Safari njema.
 
umepata kazi nini... hongera... karibu kibondo... usafiri ni saratoga au adventure... ukikosa una weza pata magari ya kahama... yapo mengi sana mimi napendelea kisbo.... au una weza panda ya uganda, bujumbura, kigali au bukoba mtukura nk... na kushukia kahama au nyakanazi...

nauli ya dar kigoma ni 55 elfu... ya kahama 40 elfu... ya kahama kibondo kuna cassablanca, saratoga, nauli ni 15 elfu...

safari njema
 
kaham kibondo ni wastani wa masaa mangapi, na gari zaondoka saa ngapi kahama, and gari nzuri ni ipi
 
kaham kibondo ni wastani wa masaa mangapi, na gari zaondoka saa ngapi kahama, and gari nzuri ni ipi
gari kuanzia saa kumi na mbili kasoro asubuhi... mpaka saa kumi na moja jioni magari yanaenda kibondo... na ni umbali wa maasa ma5...
 
kahama utafika usiku saa 4... utalala hapo asubuhi sana au muda wowote ukipenda una chukua ndinga... una ingia kibondo... kwa waha....
 
Admn muda mwingine ni kama serikali ya..... maana uzi wa mwaka 2013 ana unganisha na uzi wa mwaka 2018.... ili nini kitokee... nauli za mwaka 2013 na za mwaka 2018... wa TZ tuna safari ndefu sana ya kufika....

kama data center yenu ina uwezo mdogo wa kutunza data... tafuteni namna ya kuongeza uwezo ili watumiaji waweze kufurahia huduma yenu... muda si mrefu mtakuja kuchokwa kama serikali iliy.....!

maana na nyinyi mmekuwa kero...
 
Back
Top Bottom