Nauli Feri: Mnyika, Hata Wewe?

Umeona eeh??mchambuzi ana lake jambo hapa bila shaka..alafu hapo anataka watu waweze kutofautisha mijadala ya masuala ya msingi na ushabiki wa kisiasa,,,

Naomba usome majibu yangu kwa Mh. Mnyika, halafu turudi kwenye mjadala na kwa pamoja tubaini, siasa ipo wapi na mantiki ipo wapi.
 
We jamaa wa wapi? au unafikiria kutuimia MASABURI? aliyekuambia kwetu KIMBIJI tunauwezo wakumiliki hilo gari ni nani? uwezo wetu ni baiskeli na guta kama hujuhi.
hona hapa!

Umbali kutokea kwenu kimbiji hadi kibada ni kiasi gani? Kwani njia ya daraja jipya - from 'take off' kibada to landing 'kurasini', kwa mujibu wa ramani, ni Kilometa sio chini ya saba (7). Kwa mtazamo wako, ukiwa na GUTA lako tokea kwenu Kimbiji, na kuamua kutumia daraja, hivyo kukaza mwendo hadi kibada ili uvuke kuja DSM, utakuwa katika hali ya unafuu tofauti na kutumia pantoni chini ya bei mpya? Iwapo utakuwa na unafuu, ni suala la opportunity cost.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…