Nauli 500,000Tshs kwa safari za ndani za ATCL, Watz hawajambo kwa huu unyang'au

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,760
48,410
Hehehe!! Yaani nauli ya Dar hadi Nairobi ndio mnalipia kwenye visafari vya ndani halafu mnataka mshindane na wengine.....

--------------------------------------------------

Mwanza. National carrier Air Tanzania Company Ltd (ATCL) has been ordered to rein in ticketing agencies ‘overcharging’ passengers and fix its online booking system.
Works, Transport and Communications minister Isack Kamwele told the ATCL management Saturday that ticketing agents should stick to fares the company advertises.

“You find that some agencies charge a would-be-passenger between Sh400, 000 and Sh500, 000 per flight while ATCL has announced a fare of Sh260, 000,” the minister said here at a meeting of leadership of institutions and corporations under his ministry.

“This must come to an end so that members of the public using air transport get a fare relief. It will also help increase the number of passengers.”
Air Tanzania Dreamliner tickets now sold for Sh500,000
 
Nachojua gharama ya hili dreamliner kutoka dsm hadi kia ni 98000 sijui 90000
 
hizi ndio bei tunazolipia hiyo laki tano wewe sijui umeitoa wapi...

acha udada
Screenshot_2018-07-04-09-07-29.jpg
 
Hehehe!! Yaani nauli ya Dar hadi Nairobi ndio mnalipia kwenye visafari vya ndani halafu mnataka mshindane na wengine.....

--------------------------------------------------

Mwanza. National carrier Air Tanzania Company Ltd (ATCL) has been ordered to rein in ticketing agencies ‘overcharging’ passengers and fix its online booking system.
Works, Transport and Communications minister Isack Kamwele told the ATCL management Saturday that ticketing agents should stick to fares the company advertises.

“You find that some agencies charge a would-be-passenger between Sh400, 000 and Sh500, 000 per flight while ATCL has announced a fare of Sh260, 000,” the minister said here at a meeting of leadership of institutions and corporations under his ministry.

“This must come to an end so that members of the public using air transport get a fare relief. It will also help increase the number of passengers.”
Air Tanzania Dreamliner tickets now sold for Sh500,000
Unashangaa nini sasa, hujui Dar to Kigoma ni mbali kuliko Dar to Nairobi.

Il pia atcl wanafeli sana sometimes, nlikuwa mbeya tar 28 June nauli ya ATCL one way ilikuwa 370,000/- Toka 110000/- tuliyoizoea
 
Kingereza huwa kinawapa tabu sana Watanzania
- Chanzo cha habari ni cha Tanzania
- Waziri aliyeyasema hayo ni wa Tanzania

Sasa mnatulilia sisi Wakenya ili tuwasaidie vipi..
you should understand the context of the speech sio unajaa nyembe tu kwa kitu ambacho hakihusiani.

waziri alisema hayo akisistiza kwamba kuna mawakala wa kukatisha tiketi ambao sio waaminifu kutokana na watu wengi kutaka kusafiri na atcl basi wanapandisha gharama za kukata tiketi kinyume na bei ya kawaida ndo waziri akawa anawasistiza ATCL kutafta mawakala waaminifu sio hao wanaopandisha gharama kwa manufaa yao binafsi hicho ndicho waziri alichotaka
kuki address sasa wewe hujaelewa muktadha wa hiyo speech ya waziri aliitoa wapi na kwa nani na kwann unaibuka tuu na kutengeneza stori ili kufurahisha nafsi yako
 
He talked about the agents who are selling tickets on behalf.. That's why he demanded having AirTanzania service window in all airports so as to manage and maintain actual flights fare..otherwise you didn't listened from him well
 
you should understand the context of the speech sio unajaa nyembe tu kwa kitu ambacho hakihusiani.

waziri alisema hayo akisistiza kwamba kuna mawakala wa kukatisha tiketi ambao sio waaminifu kutokana na watu wengi kutaka kusafiri na atcl basi wanapandisha gharama za kukata tiketi kinyume na bei ya kawaida ndo waziri akawa anawasistiza ATCL kutafta mawakala waaminifu sio hao wanaopandisha gharama kwa manufaa yao binafsi hicho ndicho waziri alichotaka
kuki address sasa wewe hujaelewa muktadha wa hiyo speech ya waziri aliitoa wapi na kwa nani na kwann unaibuka tuu na kutengeneza stori ili kufurahisha nafsi yako
Fara huwa ana orgasm and cums when he hears bad things abt Tz
 
Hehehe!! Yaani nauli ya Dar hadi Nairobi ndio mnalipia kwenye visafari vya ndani halafu mnataka mshindane na wengine.....

--------------------------------------------------

Mwanza. National carrier Air Tanzania Company Ltd (ATCL) has been ordered to rein in ticketing agencies ‘overcharging’ passengers and fix its online booking system.
Works, Transport and Communications minister Isack Kamwele told the ATCL management Saturday that ticketing agents should stick to fares the company advertises.

“You find that some agencies charge a would-be-passenger between Sh400, 000 and Sh500, 000 per flight while ATCL has announced a fare of Sh260, 000,” the minister said here at a meeting of leadership of institutions and corporations under his ministry.

“This must come to an end so that members of the public using air transport get a fare relief. It will also help increase the number of passengers.”
Air Tanzania Dreamliner tickets now sold for Sh500,000

Hiyo ni kawaida, changamoto hazikosekani, kwanza hata ni vizuri mkiibua mambo kama haya ambayo yatalisaidia Shirika letu kujisahihisha!
 
you should understand the context of the speech sio unajaa nyembe tu kwa kitu ambacho hakihusiani.

waziri alisema hayo akisistiza kwamba kuna mawakala wa kukatisha tiketi ambao sio waaminifu kutokana na watu wengi kutaka kusafiri na atcl basi wanapandisha gharama za kukata tiketi kinyume na bei ya kawaida ndo waziri akawa anawasistiza ATCL kutafta mawakala waaminifu sio hao wanaopandisha gharama kwa manufaa yao binafsi hicho ndicho waziri alichotaka
kuki address sasa wewe hujaelewa muktadha wa hiyo speech ya waziri aliitoa wapi na kwa nani na kwann unaibuka tuu na kutengeneza stori ili kufurahisha nafsi yako

I fully understood what the minister was complaining about, am not sure why you dispensing so much energy putting a twist to this. The issue is clear and obvious to anyone that the minister is complaining about those games being played there and hence the reason I asked if you people are ready to compete if allowing such impunity, besides, your minister is only complaining instead of issuing a directive.
 
Back
Top Bottom